Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Uchaguzi unakaribia next year kamata kamata itazidi na wameanza kwa viongozi wa Haki za Binadamu lakini lengo ni viongozi wa vyama vya siasa na wanaharakati wa demokrasia nchini.
Watakamatwa watu kama kuku na kubambikiziwa kesi
Tuombe uhai , Tutasikia na kuona mengi katika jitihada na harakati za CCM kujibakisha madarakani kwa nguvu
Watakamatwa watu kama kuku na kubambikiziwa kesi
Tuombe uhai , Tutasikia na kuona mengi katika jitihada na harakati za CCM kujibakisha madarakani kwa nguvu