Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Inasikitisha sana. Historia itahukumu huu utawala kama moja ya tawala za hovyo kabisa kupata kutokea nchini.
 
V for Vendetta
 

Attachments

  • main-qimg-f8bac507c644008113198ec0dee7d857-c.jpg
    177.2 KB · Views: 1

Kwahiyo kosa ni kidomodomo au kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu? Sheria zipi tunazoongozwa nazo? za utakatishaji au uhujumu uchumi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wamehojiwa haya, halafu wanafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi hii ni aibu kwa vyombo vyetu vya dola. Inaonesha sura fulani ya unyanyasaji na uonevu kuzingatia itikadi za vyama. Kiukweli kama hivi ndivyo mambo yalivyo Mwenyezi Mungu aingilie kati, sidhani kama tunaenda sawa kama taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…