Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha..kumbuka Kabendera amekili makosa yake na anaomba sana asamehewe, nyie mnaotetea "uhaini" wakati hamjui nini kilikuwa kinaendelea ndo mnawaponza, yajayo yanafurahisha kweli kweli.Daah!! [emoji848][emoji848] Yale yale ya Kabendera. Lol
Ndugu mpuuzi unaimba wimbo wa nini? mbona Kabendera mlipiga mayowe anaonewa na baada ya mwenyewe kuomba msamaha mkakaa kimya, hakuna cha msamaha, tulieni myajue wanoyafanya na sheria (haki) ichukue mkondo wake.Nchi ilishaingiliwa hiii nyie endeleeeni kushangilia kuwa aongezewe miaka, endeleeeni tu had yatakapowakuta Ndugu zenu ndio mtajua kuwa Nyumba imeingiliwa na, ule Wimbo wa naniiiii kuwa nyumbani kwetu ameingia......
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unajificha nyuma ya keyboard jitokeze ukosowe wazi na kwa adabu mkuuKwahiyo ukiwa na mahusiano na Fatma Karume, Maria Sarungi na Zitto Meko anakubambikia kesi ya utakatishaji fedha.
Hivi ni watanzania wangapi watawabambikia kesi kama hizi?
Mwambieni Meko, hakuna mtawala wa kariba yake aliyeishia pazuri. Aache ulimbukeni. Wakosoaji hawataisha mpaka kiama kitakapokuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa muda wote ambao Tito Magoti na Theodory Giyan wamekuwa kizuizini wamehojiwa kuhusu harakati zao mitandaoni, uhusiano wao na Maria Sarungi, Fatma Karume, na Zitto Kabwe na uvumi wa kwenye mitandao, LHRC imeeleza.
View attachment 1302554
Wakati mwingine unaonekana kama ni taahira! Magufuli hadi 2025 piga uaDying horse sign, 2020 sijui kama itafika salama kwa serikali hii maana hata walio ndani yake wamechoka na upuuzi huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
..halafu najiuliza ni kwa nini hawa polisi wasiwakamate hao wakina maria sarungi na fatma karume...?Kwahiyo ukiwa na mahusiano na Fatma Karume, Maria Sarungi na Zitto Meko anakubambikia kesi ya utakatishaji fedha.
Hivi ni watanzania wangapi watawabambikia kesi kama hizi?
Mwambieni Meko, hakuna mtawala wa kariba yake aliyeishia pazuri. Aache ulimbukeni. Wakosoaji hawataisha mpaka kiama kitakapokuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamechokaje wakati majuzi tu uliwaona wakipiga makofi kama mazuzu kwenye NEC huku wakitaka Mfalme aongezewe miaka!!!Dying horse sign, 2020 sijui kama itafika salama kwa serikali hii maana hata walio ndani yake wamechoka na upuuzi huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini wewe ukawa huruPumbav
Mbona haujauuza uhuru wako uwe mtumwa ili upate maendeleo haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Peter yuko ndani na makesi kibao[emoji121][emoji121][emoji121][emoji121] UCD! Mimi ni Peter Zakariah! Mje tena ili niwabamize kwa mara nyingine tena.
[emoji379][emoji379][emoji379] [emoji123][emoji123][emoji123]
Wewe utakuwa ni "pumbavu" fulani unayeokota makombo mezani pa waonevu, hivyo kujiona upo paradiso. Rafiki tumo humu humu duniani, na hujafa hujaumbwa,nenda pole!!!Jitundike ufe ili upumzike!
15% wameachiwa wako nje wanakula batsBado tuu Mh Rais anasema ana punguza mahabusu gerezani wakati wasaidizi wake ndio vinara wa kupachika watu shutma za uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Utii bila shuruti. Tii mamlaka ya nchi hususani mwenye mamlaka akisema hapendi kitu Fulani[emoji41]acha usifanye. Hutagombana na mtuPumbav
Mbona haujauuza uhuru wako uwe mtumwa ili upate maendeleo haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kosa kubwa kushirikiana na wahainiKwahiyo ukiwa na mahusiano na Fatma Karume, Maria Sarungi na Zitto Meko anakubambikia kesi ya utakatishaji fedha.
Hivi ni watanzania wangapi watawabambikia kesi kama hizi?
Mwambieni Meko, hakuna mtawala wa kariba yake aliyeishia pazuri. Aache ulimbukeni. Wakosoaji hawataisha mpaka kiama kitakapokuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuufuta mti unaanzia miziziMambosasa na Wahuni wenzake wanashindiwa nini kwenda kuwakamata akina Maria Sarungi, Fatma Karume na Zito Kabwe moja kwa moja? Kuna shida gani hadi kufikia kuhangaisha hawa vijana? Pumbavu zao kabisa.
Mkuu kwa Sasa ivi unapaswa tuu kuunga mkono juhudi sio kukosoa kosoa. Hata wamarekani walipitia hii stage ndo Mana wApo hapo walipo.Kama yapi mkuu?