Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Khaa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo nina kabila languUmemjibu KIKABILA ,, mana ume refer wachaga, kwahio wewe ni MKABILA
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasaliti hata kwenye bibilia wamesema ni hatari sana hivyo hata Mungu hawapendiNdie anayekutuma ushangilie wengine wakinyanyaswa sababu ya kukosoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Utahukumiwa kwanza wewe!Inasikitisha sana. Historia itahukumu huubutawala kama moja ya tawala za hovyo kabisa kupata kutokea nchini.
Una ushahidi kuwa katukana? Kwanini asishtakiwe kwa kutukana au haujui kuwa nalo ni kosa la jinai?
Mwenye nyekunduTito ni yupi katika picha hapo juu?
Nchi haiongozwi kwa mihemuko inaongozwa kwa sheria. Kidomodomo kimemponza, kwani unafikiri wote wasiondika ni wajinga? Hakuna chuki hapo angekuwa mama yako katukanwa vile wakati wewe unafahamu fika huyu kijana anapata pesa kwa njia za udanganyifu ungemwachia? Msiingize mambo ya kimataifa kwani huko kwao na wenyewe si wana sheria zao?
vile vile zinasaidia
Mzee unaweza Uka share hiyo Comment Aliyotukana au Screenshot Kwa Faida ya Wengi.?Kwahiyo kosa ni kidomodomo au kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu? Sheria zipi tunazoongozwa nazo? za utakatishaji au uhujumu uchumi?
Sent using Jamii Forums mobile app