Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Wamekwambia saa ngapi , lini wameongea na watu ?

Mlisema hamjui walipo hizo habari umezitoa wapi ?

Unapenda likes kwa mambo ya uzushi

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni Ushenzi, muache watu wawe Huru
,
Ukimya una Mwisho, haya tunayoyaona leo yana Mwisho kabisa,

Mungu awabariki

Kuna sehemu niliona unasema unaachana na siasa, sasa hapa unaongelea siasa au? Nilitegemea kukuona kwenye jukwaa la wapendanao kumbe ulikuwa unatania sio?
 
Kesho mtu ataenda kucommunica akiwa no. moja na kuomba aombewe wakati aliowaweka ndani ni umri wa Jessica!!!! Fikiria wazazi wao wanamuonaje huyo mtu? Noel njema kwa wale wenye furaha na raha zao.
 
Nasikia hasira kupita kiasi, uonevu huu mwisho lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ukihojiwa lazima ushitakiwa na kosa hilo hilo?
 
Hahaha..awaachie nchi yenu wewe na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari umetosheka na hiyo taarifa ya upande mmoja[emoji102]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…