TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Uhuru unarudisha nyuma maendeleoHuu ni Ushenzi, muache watu wawe Huru
,
Ukimya una Mwisho, haya tunayoyaona leo yana Mwisho kabisa,
Mungu awabariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru unarudisha nyuma maendeleoHuu ni Ushenzi, muache watu wawe Huru
,
Ukimya una Mwisho, haya tunayoyaona leo yana Mwisho kabisa,
Mungu awabariki
Huu ni Ushenzi, muache watu wawe Huru
,
Ukimya una Mwisho, haya tunayoyaona leo yana Mwisho kabisa,
Mungu awabariki
Mbona haujauuza uhuru wako uwe mtumwa ili upate maendeleo haraka.
Mtanyooka tu awamu hii siyo ya mchezo mchezo. Kama unafanya makosa watakufikia tu!Udikteta uchwara katika kilele chake cha mafanikio uchwara.
Uwezo huo unao wewe!! Wananchi wako nyuma ya serikali hii ndiyo maana hao wasaliti kila wafanyacho wanajulikana. Hata wewe kama wakikutaka wanakupata tuu!!Tuiondoe madarakani hii serikali dhalimu 2020
Acha kutukana wewe dogo. Kwani ukichangia bila kutukana hutaeleweka??Huu ni Ushenzi, muache watu wawe Huru
,
Ukimya una Mwisho, haya tunayoyaona leo yana Mwisho kabisa,
Mungu awabariki
Nasikia hasira kupita kiasi, uonevu huu mwisho lini?Kama wamehojiwa haya, halafu wanafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi hii ni aibu kwa vyombo vyetu vya dola. Inaonesha sura fulani ya unyanyasaji na uonevu kuzingatia itikadi za vyama. Kiukweli kama hivi ndivyo mambo yalivyo Mwenyezi Mungu aingilie kati, sidhani kama tunaenda sawa kama taifa
Kwani ukihojiwa lazima ushitakiwa na kosa hilo hilo?Kama wamehojiwa haya, halafu wanafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi hii ni aibu kwa vyombo vyetu vya dola. Inaonesha sura fulani ya unyanyasaji na uonevu kuzingatia itikadi za vyama. Kiukweli kama hivi ndivyo mambo yalivyo Mwenyezi Mungu aingilie kati, sidhani kama tunaenda sawa kama taifa
Kama yapi mkuu?
Hahaha..awaachie nchi yenu wewe na nani?Hutaki kukosolewa wewe ni nani? malaika? Unafikiri hakun kiongozi bora zaidi yako? Mbn wako wengi tu huko CCM, tafadhali ondoka tuachie nchi yetu, UHURU, AMANI, KUVUMILIANA ni bora kuliko utajiri, SGR n upuuzi kam huo wa kutekana na kuoneana, simply not good enough
Wewe na mke wako? anza hata leo hujakawia.2020 Kutakuwa hakuna masikilizano, sababu wakati anapiga kampeni za ufundi uashi na uofisa manunuzi SISI TUTAPIGA UHURU.
Mahakama ndiyo yenye uwezo wakusema ana hatia au la!Bado tuu Mh Rais anasema ana punguza mahabusu gerezani wakati wasaidizi wake ndio vinara wa kupachika watu shutma za uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari umetosheka na hiyo taarifa ya upande mmoja[emoji102]Kama wamehojiwa haya, halafu wanafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi hii ni aibu kwa vyombo vyetu vya dola. Inaonesha sura fulani ya unyanyasaji na uonevu kuzingatia itikadi za vyama. Kiukweli kama hivi ndivyo mambo yalivyo Mwenyezi Mungu aingilie kati, sidhani kama tunaenda sawa kama taifa