Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Ndugu mpuuzi unaimba wimbo wa nini? mbona Kabendera mlipiga mayowe anaonewa na baada ya mwenyewe kuomba msamaha mkakaa kimya, hakuna cha msamaha, tulieni myajue wanoyafanya na sheria (haki) ichukue mkondo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Ole
Kwahiyo ukiwa na mahusiano na Fatma Karume, Maria Sarungi na Zitto Meko anakubambikia kesi ya utakatishaji fedha.
Hivi ni watanzania wangapi watawabambikia kesi kama hizi?

Mwambieni Meko, hakuna mtawala wa kariba yake aliyeishia pazuri. Aache ulimbukeni. Wakosoaji hawataisha mpaka kiama kitakapokuja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unajificha nyuma ya keyboard jitokeze ukosowe wazi na kwa adabu mkuu
 
Mambosasa na Wahuni wenzake wanashindiwa nini kwenda kuwakamata akina Maria Sarungi, Fatma Karume na Zito Kabwe moja kwa moja? Kuna shida gani hadi kufikia kuhangaisha hawa vijana? Pumbavu zao kabisa.
 
Hii taarifa ya LHRC ina facts za kuaminika kweli?

Mahojiano yatofautiane na mashtaka?

Najiuliza lengo ni stirring up au kusaka public syampath? Kuna kitu kinafunikwa kwa lazima kwa hizi taharuki
Kwa muda wote ambao Tito Magoti na Theodory Giyan wamekuwa kizuizini wamehojiwa kuhusu harakati zao mitandaoni, uhusiano wao na Maria Sarungi, Fatma Karume, na Zitto Kabwe na uvumi wa kwenye mitandao, LHRC imeeleza.

View attachment 1302554

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..halafu najiuliza ni kwa nini hawa polisi wasiwakamate hao wakina maria sarungi na fatma karume...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitundike ufe ili upumzike!
Wewe utakuwa ni "pumbavu" fulani unayeokota makombo mezani pa waonevu, hivyo kujiona upo paradiso. Rafiki tumo humu humu duniani, na hujafa hujaumbwa,nenda pole!!!
 
Ni kosa kubwa kushirikiana na wahaini

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambosasa na Wahuni wenzake wanashindiwa nini kwenda kuwakamata akina Maria Sarungi, Fatma Karume na Zito Kabwe moja kwa moja? Kuna shida gani hadi kufikia kuhangaisha hawa vijana? Pumbavu zao kabisa.
Kuufuta mti unaanzia mizizi

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…