Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Kumiliki app ya kutenda uhalifu na kujipatia mil 17???? Bashite na Baba yake wamechanganyikiwa.
 
Ila ninachoona legal and human rights centre inabidi muwe na uvumilivu..mkipush sana hili swala la ndugu yetu Magoti mtawaumiza hawa vijana kwa maana serikali haitataka kuonekana inafanya kazi under your influence kwao inachukuliwa kama udhaifu na mwisho wa siku wataumia hao vijana kma ilivyo kwa Eric Bendera.

Serikali ikikutia hatiani kuwa mpole husishindane nayo kana kwamba wao wamekosea hata kma ni kweli lakini husishindane nao utaumia sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nenda wewe kamshitaki. Membe si alimshitaki inaendeleaje hiyo kesi?
Mahakama haitendi haki na ndio maana watu wanaidharau,..... Musiba yupo nje halafu wasio na makosa mnawajazia mikosa ya ajabuajabu kwa maslahi yenu, Mungu yupo na mtakufa midomo juu nyie wehu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahakama haitendi haki na ndio maana watu wanaidharau,..... Musiba yupo nje halafu wasio na makosa mnawajazia mikosa ya ajabuajabu kwa maslahi yenu, Mungu yupo na mtakufa midomo juu nyie wehu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa hapo mahakama ipi haitendi haki au unakurupuka tu? Watu gani hao wanaoidharau Mahakama? Sasa mimi nina maslahi gani hapo?
 
USSR,
Uko nyuma sana mzee!! Ungesoma taarifa zilizopo, acha kubishana kipumbavu
 
Hisia zikihisi hao ndio kigogo2014,huyu mnyama anatumia VPN au nini?kuumiza vichwa vya sirikali!! Mungu awaokoe vijana mtoke huko kwenye mateso.
 
Nipo hapa naandaa track ya kusifu na kuabudu, pia
Nafanya maombi ili kusudi akiri makosa yake arudi uraiani tutembee sote kifua mbere.
 
Mwenyezi Mungu hahusiki na wasiotii sheria, usijitekenye
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…