Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Kwa tafsiri yako hiyo, hao vijana ndio mzizi we NGUMBARU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa tafsiri yako hiyo, hao vijana ndio mzizi we NGUMBARU?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hebu tupo kwenye majonzi Usinichekeshe[emoji28][emoji28][emoji28]!tito amezid kwa body amazing la kumasajiwa aisee!amen maa!
Sheria hizi hazimuoni musiba, anayetishia watu maisha kila uchwao, matusi kila siku kwenye vitoilet paper vyake si ndio eeeeh!?? Simbilisi nyieSheria msumeno.
Mahakama haitendi haki na ndio maana watu wanaidharau,..... Musiba yupo nje halafu wasio na makosa mnawajazia mikosa ya ajabuajabu kwa maslahi yenu, Mungu yupo na mtakufa midomo juu nyie wehuNenda wewe kamshitaki. Membe si alimshitaki inaendeleaje hiyo kesi?
Mahakama haitendi haki na ndio maana watu wanaidharau,..... Musiba yupo nje halafu wasio na makosa mnawajazia mikosa ya ajabuajabu kwa maslahi yenu, Mungu yupo na mtakufa midomo juu nyie wehu
Sent using Jamii Forums mobile app
Utajua mwenyewe ila kaeni mkijua kutesa watu bila sababu sio tabia nzuri na ni dhambi, hukumu yenu ipo kwa Muumba wenu.Sasa hapo mahakama ipi haitendi haki au unakurupuka tu? Watu gani hao wanaoidharau Mahakama? Sasa mimi nina maslahi gani hapo?
Ukiona nyumbani taflani haziishi na mzee yupo kimya watoto wanavurugana tu ujue ipo namna
Kuna kila dalili ya nchi kusambaratikaDying horse sign, 2020 sijui kama itafika salama kwa serikali hii maana hata walio ndani yake wamechoka na upuuzi huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
At last
tatizo nyingine zina dhamana, wao wanataka ambayo haina dhamana ukae jela mpk waridhike, ila Mungu yupo, atawapigania watu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wamehojiwa haya, halafu wanafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi hii ni aibu kwa vyombo vyetu vya dola. Inaonesha sura fulani ya unyanyasaji na uonevu kuzingatia itikadi za vyama. Kiukweli kama hivi ndivyo mambo yalivyo Mwenyezi Mungu aingilie kati, sidhani kama tunaenda sawa kama taifa
Kesho mtu ataenda kucommunica akiwa no. moja na kuomba aombewe wakati aliowaweka ndani ni umri wa Jessica!!!! Fikiria wazazi wao wanamuonaje huyo mtu? Noel njema kwa wale wenye furaha na raha zao.