Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

tutamshangaa sana na yeye kama atenda kwa DPP 'kukiri' makossa yake ili apunguziwe adhabu au kusamehe kama yule mwingine anavyo fanya kwa sasa!
 
Huku mwingine akipatikana mitaa ya Segerea upande ule mwingine yuko mahakamani!

Ukichezesha akili kidogo utagundua mhusika ni nani!! Ukaunganisha na zile kauli za mambo sasa jana kwa ujumla hautapata shida!

Swali! Ni Kwanini wanafanya hivyo?
 
One thing I like about all this, is the lads age. At some future time, that age will unleash furry and make it so difficulty for the dictatorship to exercise its powers.

I argue the dictatorship to allow these young intellectuals to exercise the freedom of thinking and speaking before that time come.

Today, their intellect being is instructing their mouths to act, in the future, either the mouth will protest the disrespect of the dictatorship and refuse to speak or it will directly instruct other of their organs to take actions. That is the time some organs will get hold of some life threatening objects and some organs will make them move, they will move in the protest of the dictatorship.
 
Jaman kwann uhujumu uchumi imekua kichaka cha kuonea watu huku kila siku tupo kanisan
Kuna mtu aliwahi kusema kuwa ukienda makanisani na misikitini, wachawi ndio wanaoenda kusali na kuswali kila siku. Na ndio ambao jina la Mungu na Allah hayapungui midomoni mwao.

Waovu wakubwa wanaenda kwenye nyumba za ibada kuwapumbaza watu waamini kuwa ni watu wema kumbe ndio wauaji na watenda uchafu wa kila namna.

Mtu mmoja anawafanya mamilioni ya Watanzania wakose amani mioyoni mwao.
 
Back
Top Bottom