Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu

Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani

Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.

====
UPDATE:

View attachment 1302260

View attachment 1302258View attachment 1302259
FANAKHUDHUBILAHI MINDHALIKA .ALLAH TUSIMAMIE WAJA WAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa hizo chaji yaani feb 2019 mpaka dec 2019 alitengeneza program ya computer yenye thamani ya 17m?
Alidesign program ambayo ni unlawfully kisha nafikir akapata pesa kupitia hiyo program.

Sasa ukute hiyo program ni nothing less ila ni kablog tu huyu si mwandishi sasa akipost mamb yake humu watu wakiview anapata pesa basi, hakun kesi hayo cha msingi nikuprove hiyo blog au program pengin ni lawful ndio maan nasem kesi hapi ni cyber lakin kwavile alipata pesa kupitia hiy program then inakuw uhujumu uchumi et

Absolutely disgrace kwasababu kwa miaka yeto minne umeonea watu lkni hujawez kuwadhibiti na hutaweza kamwe
 
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu

Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani

Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.

====
UPDATE:

View attachment 1302260

View attachment 1302258View attachment 1302259

Si walisema hawajui alipo??
 
Binafsi sina tatizo na makosa wanayoshitakiwa nayo, tatizo langu ni jinsi polisi walivyohusika na ukamataji wa Tito, hilo lanishangaza sana.

Kinachonishangaza zaidi ni kuwa ili kujisafisha na mbinu ambazo polisi hutumia, huwa wanawatuhumu wahamga kewa makosa hayohayo- kutakatisha fedha na uhujumu wa uchumi ili kufunga dhamana. Tuliona hivyo kwa Kabendera, staili ile ya ukamataji na kosa aliloshitakiwa nalo vinafanana kabisa na staili waliyotumia kwa Tito.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alidesign program ambayo ni unlawfully kisha nafikir akapata pesa kupitia hiyo program.

Sasa ukute hiyo program ni nothing less ila ni kablog tu huyu si mwandishi sasa akipost mamb yake humu watu wakiview anapata pesa basi, hakun kesi hayo cha msingi nikuprove hiyo blog au program pengin ni lawful ndio maan nasem kesi hapi ni cyber lakin kwavile alipata pesa kupitia hiy program then inakuw uhujumu uchumi et

Absolutely disgrace kwasababu kwa miaka yeto minne umeonea watu lkni hujawez kuwadhibiti na hutaweza kamwe
Sasa kutengeneza Program ndio ameenda kutekwa MWENGE na Mitutu? Tena Program yenyewe kapata 17m? Nchi ina vituko vingi sana!!
 
Inasikitisha sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Binafsi sina tatizo na makosa wanayoshitakiwa nayo, tatizo langu ni jinsi polisi walivyohusika na ukamataji wa Tito, hilo lanishangaza sana.

Kinachonishangaza zaidi ni kuwa ili kujisafisha na mbinu ambazo polisi hutumia, huwa wanawatuhumu wahamga kewa makosa hayohayo- kutakatisha fedha na uhujumu wa uchumi ili kufunga dhamana. Tuliona hivyo kwa Kabendera, staili ile ya ukamataji na kosa aliloshitakiwa nalo vinafanana kabisa na staili waliyotumia kwa Tito.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa wanasheria inabadi waibadilishe kesi iwe ya Cyber Crime na sio uhujumu Uchumi.
 
These hopeless court cases, are seemingly the dictatorship respect of the rule of the law. and that is what I like most of the dictatorship's mode of operations as of recent,while it well knows the Mass has unreasonable faith to the judiciary system, the dictatorship has decided to corrupt and collapse it further, leaving the mass vulnerable to all of its abusive practices, there is neither hope nor help for the mass in the land. The dictatoship's self destruction process of its kind.
 
...Mwanangu Ndebile kwanini unaamini waharifu huwa wana sura na muonekano tofauti na watu wema?...by Rosaria Kagemulo (RIP)
Mahakama ndiyo itathibitisha mbivu na mbichi za watuhumiwa hawa!
Sawa, mahakama itaweza kuwatendea haki lakini wale waovu wanatumia.nafasi hiyo.kuwaumiza wenye chuki nao kwa kuwapa mashitaka yasiyo na dhamana na visingizio chungu tele kuwa bado wanaendelea na uchunguzi ili waendelee kusota magerezani. Wanasema "fumbo mfumbie mjinga" .
 
Kwa Mfumo wa uchumi holela wa nchi yetu ni rahisi sana kupata kosa la uhujumu uchumi na utakasishaji fedha kwa mfano jamaa yako yupo nchi za nje ameomba umsimamie kujenga nyumba yake anakutumia hela unalipa gharama za ujenzi na mafundi hapa tayari kuna makosa mawili KATIBA yetu inahitaji mabadiliko hasa hebu fikiria milioni 17 inamnyima dhamana mtu mwenye makazi ya kudumu Tanzania
 
Binafsi sina tatizo na makosa wanayoshitakiwa nayo, tatizo langu ni jinsi polisi walivyohusika na ukamataji wa Tito, hilo lanishangaza sana.

Kinachonishangaza zaidi ni kuwa ili kujisafisha na mbinu ambazo polisi hutumia, huwa wanawatuhumu wahamga kewa makosa hayohayo- kutakatisha fedha na uhujumu wa uchumi ili kufunga dhamana. Tuliona hivyo kwa Kabendera, staili ile ya ukamataji na kosa aliloshitakiwa nalo vinafanana kabisa na staili waliyotumia kwa Tito.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi mkuu lazima uone tatizo kwenye makosa maana sasa makosa hayo yamekuwa kama fimbo ya kuchapia wakosoaji! Utawala unaojionyesha madhaifu yake kwa uwazi hivyo ni utawala wa kuangalia kwa umakini mkubwa!
 
Back
Top Bottom