Abdallahkova
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 1,154
- 1,127
FANAKHUDHUBILAHI MINDHALIKA .ALLAH TUSIMAMIE WAJA WAKO.
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu
Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani
Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.
====
UPDATE:
View attachment 1302260
View attachment 1302258View attachment 1302259
Alidesign program ambayo ni unlawfully kisha nafikir akapata pesa kupitia hiyo program.Sijaelewa hizo chaji yaani feb 2019 mpaka dec 2019 alitengeneza program ya computer yenye thamani ya 17m?
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu
Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani
Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.
====
UPDATE:
View attachment 1302260
View attachment 1302258View attachment 1302259
Sasa kutengeneza Program ndio ameenda kutekwa MWENGE na Mitutu? Tena Program yenyewe kapata 17m? Nchi ina vituko vingi sana!!Alidesign program ambayo ni unlawfully kisha nafikir akapata pesa kupitia hiyo program.
Sasa ukute hiyo program ni nothing less ila ni kablog tu huyu si mwandishi sasa akipost mamb yake humu watu wakiview anapata pesa basi, hakun kesi hayo cha msingi nikuprove hiyo blog au program pengin ni lawful ndio maan nasem kesi hapi ni cyber lakin kwavile alipata pesa kupitia hiy program then inakuw uhujumu uchumi et
Absolutely disgrace kwasababu kwa miaka yeto minne umeonea watu lkni hujawez kuwadhibiti na hutaweza kamwe
Bora ww uliyeamua kuwa wa kuuma na kupuliza .Duh!...
P
Hapa wanasheria inabadi waibadilishe kesi iwe ya Cyber Crime na sio uhujumu Uchumi.Binafsi sina tatizo na makosa wanayoshitakiwa nayo, tatizo langu ni jinsi polisi walivyohusika na ukamataji wa Tito, hilo lanishangaza sana.
Kinachonishangaza zaidi ni kuwa ili kujisafisha na mbinu ambazo polisi hutumia, huwa wanawatuhumu wahamga kewa makosa hayohayo- kutakatisha fedha na uhujumu wa uchumi ili kufunga dhamana. Tuliona hivyo kwa Kabendera, staili ile ya ukamataji na kosa aliloshitakiwa nalo vinafanana kabisa na staili waliyotumia kwa Tito.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora Hugo kuliko mzee mwanakijijiPaskali ni mnafiki aisee
I hate this person now days ani.. Kichefu chefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukia ccm sio siasaNajikuta naichukia siasa kupita maelezo. Sijui kwa nini!
[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]Duh...!,
P
Sawa, mahakama itaweza kuwatendea haki lakini wale waovu wanatumia.nafasi hiyo.kuwaumiza wenye chuki nao kwa kuwapa mashitaka yasiyo na dhamana na visingizio chungu tele kuwa bado wanaendelea na uchunguzi ili waendelee kusota magerezani. Wanasema "fumbo mfumbie mjinga" ....Mwanangu Ndebile kwanini unaamini waharifu huwa wana sura na muonekano tofauti na watu wema?...by Rosaria Kagemulo (RIP)
Mahakama ndiyo itathibitisha mbivu na mbichi za watuhumiwa hawa!
Kimsingi mkuu lazima uone tatizo kwenye makosa maana sasa makosa hayo yamekuwa kama fimbo ya kuchapia wakosoaji! Utawala unaojionyesha madhaifu yake kwa uwazi hivyo ni utawala wa kuangalia kwa umakini mkubwa!Binafsi sina tatizo na makosa wanayoshitakiwa nayo, tatizo langu ni jinsi polisi walivyohusika na ukamataji wa Tito, hilo lanishangaza sana.