Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Mahakama ipi uliyokusudia ww itowe haki kama ni hiyo inayoendeshwa kwa rimoti sahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu utawala wa jiwe unatakiwa ufike mwisho 2020
 
Hutaki kukosolewa wewe ni nani? malaika? Unafikiri hakun kiongozi bora zaidi yako? Mbn wako wengi tu huko CCM, tafadhali ondoka tuachie nchi yetu, UHURU, AMANI, KUVUMILIANA ni bora kuliko utajiri, SGR n upuuzi kam huo wa kutekana na kuoneana, simply not good enough
 
kwenye ulimwengu huu wa sasa ukiingia kwenye kumi na nane ni vigumu kuchomoka.., kama sio uchochezi, au utakatishaji fedha basi walau hata uvunjifu wa amani au uhujumu uchumi.., nadhani hata kukosa uzalendo pia wanaweza kuliweka katika makosa kwa jinsi tunavyokwenda....
 
Kaaaaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…