Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Sawa, mahakama itaweza kuwatendea haki lakini wale waovu wanatumia.nafasi hiyo.kuwaumiza wenye chuki nao kwa kuwapa mashitaka yasiyo na dhamana na visingizio chungu tele kuwa bado wanaendelea na uchunguzi ili waendelee kusota magerezani. Wanasema "fumbo mfumbie mjinga" .
Mahakama ipi uliyokusudia ww itowe haki kama ni hiyo inayoendeshwa kwa rimoti sahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu

Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani

Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.

====
UPDATE:

View attachment 1302260

View attachment 1302258View attachment 1302259
huu utawala wa jiwe unatakiwa ufike mwisho 2020
 
kwenye ulimwengu huu wa sasa ukiingia kwenye kumi na nane ni vigumu kuchomoka.., kama sio uchochezi, au utakatishaji fedha basi walau hata uvunjifu wa amani au uhujumu uchumi.., nadhani hata kukosa uzalendo pia wanaweza kuliweka katika makosa kwa jinsi tunavyokwenda....
 
Attachments

  • 20191224_144234.jpg
    20191224_144234.jpg
    19.3 KB · Views: 1

Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu

Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani

Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.

====
UPDATE:

View attachment 1302260

View attachment 1302258View attachment 1302259
Kaaaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom