Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Wazee wa vitengo wataanza kupoteana. Nina hofu tutaanza 2020 kwa suicidal cases
 
Ndiyo wakome kujimwambafy kwa kutaka sifa za kishamba. Chota kenge wote sukuma ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumba.vu wewe huyohuyo Kabendera kaomba msamaha kwamba aliyafanya hayo yote na hatofanya tena, nawaambia yajayo yanafurahisha na mtafurahi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkono wa chuma unaendelea kutamalaki huku wadanganyika wakiwa hawajui la kufanya.
 
Software Engineers tujuzeni zaidi kuhusu computer programme designed to commit an offence.
 
Sijaelewa hapo kwenye kumiliki program. Ni kwamba hio program ndio imewatengenezea hizo 17m au vp??? Pia jana kuna software developers nasikia walikamatwa sijui ndio waliotengeneza hio program.

Maswali ni mengi sana ofcoz!
 
Hiyo computer program walioidizaini naihitaji, kama kuna mtu ana connection na Tito mwambieni aniachie mimi hiyo program niifanyie kazi ya ukweli, maana wao walizembea, yaani mwaka mzima milion 17 tu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Moderators
@Mod Three
@Active
@Innovator
@Moderator
@Mod One

MMEKAA KABISA NA KUTAFAKARI NA KUKUBALIANA HII NI HABARI YA KULETW AHUKU " HABARI MCHANGANYIKO"

labda niwaulize tu?
Mnaficha nini?
hamtaki watu waone hayo mashtaka?
hivi hii haikuw ahabari ingepaswa kuw apinned kabisa juu kule?

Ushahuri:
Jichunguzeni na hasa huyu aliyeileta huku hii hakika nawaambieni sio mwenzetu JF.
JF Imetekwa hakika.
 
Daah dogo wamesha mvalisha dude kubwa linaloitwa uhujumu uchumi, atakaa sana ngome.
Tuombe kwa Mungu aliowachukiza wamsamehe mapema.

Tatizo madogo mikono inawawasha kuandika andika mitandaoni kila linalowajia kichwani, maneno mengine wana wakosea hadi mama zao akina Ndalichako.

Dogo wamsamehe tu baada ya angalau kula sembe ngome kwa miezi mitatu hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…