Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji849]Mimi naongea kila siku naishia kutukanwa ila WAKRISTO WANA ROHO MBAYA SANA...ACHA TU SERIKALI YA KIKRISTO IWATESE WAKRISTO
Hayo maembe sijui mamembe nayo yawindwe tu YOTE MAROHO MBAYA MBAYA TU MAKRISTO[emoji4]YAUANE VIZURI
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo wakome kujimwambafy kwa kutaka sifa za kishamba. Chota kenge wote sukuma ndani.
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu
Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani
Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.
====
UPDATE:
View attachment 1302260
View attachment 1302258View attachment 1302259
Mpumba.vu wewe huyohuyo Kabendera kaomba msamaha kwamba aliyafanya hayo yote na hatofanya tena, nawaambia yajayo yanafurahisha na mtafurahi sana.Makosa yale yale Kama ya Kabendera ya uhujumu uchumi/utakatishaji fedha.
Makosa haya hayana dhamana, na ni dhahiri shahiri yamelenga kuwakomoa hawa vijana....maana historia inaonesha huwa upelelezi wake haukamiliki.
Haki kwa Sasa imetoweka kabisa kwenye Taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja jiwe aje kutujibuKWA HIYO HAWA VIJANA WAKIENDA JELA MAISHA YA WATANZANIA YATAKUWA MAZURI?
Pesa hiyo imetakatishwa hahahahaha kazi ipo wa stendiUtakatishaji wa pesa sh.milioni 17
Bado hata mm najiuliza kuhusu hio program "DESIGNED TO COMMIT AN OFFENCE"Software Engineers tujuzeni zaidi kuhusu computer programme designed to commit an offence.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani mie huyo mwingine,,,,..Wakatikati..[emoji39][emoji39][emoji39] ana body fula[emoji41]
Nimeisoma kabla yako, we umekuja kuisoma wakati tayari mods wame hariri heading ukakurupuka kuni quote ukadhani nimeandika bila kusoma
Hiyo 17 M watanzania zaidi ya 70% hawawezi kuikamata wala kuitumia ndani ya miaka 5, "matumizi yote kimaisha".Wamempa kesi ya utakatishaji wa pesa milioni 17