Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.

Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.

Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.

Tunafuatilia.
 
Nimekula kiapo kwa uzi maalum humu JF. Mwaka huu Samia na washirika wake lazima watolewe Hati za kukamatwa na ICC.

Yanayoendelea ICC ni faraja tosha kwa Watanzania na nafasi pekee ya kutengeneza mustakabali mpya kwa Taifa letu.
 
Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.

Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.

Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.

Tunafuatilia.
Wanajumuia ya Mt.Yombo vituko kutoka Kanisa la Farther Mapendo nawaita huku Kwa jina la Baba Mtakatifu ni Mimi Mwenyekiti wa Jumuiya AGATHA YAKOB aka SANDRA MTAWI
Ritz Lucha Tui@
 
Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.

Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.

Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.

Tunafuatilia.
Ingawa pia UHURU KENYATTA (Rais mstaafu wa Kenya ) anapigana kura kupona kuhakikisha Shetani Samuya anashinda
 
Alifanya uamuzi wa kipuuzi sana wa kuua watu namna ile.....Kuna njia nyingi za kudhibiti maandamano na si ile amri ya shoot to kill.
 
Nakwambiaje hata apiganiwe na Trump, huyu kibibi muuaji hawezi kukwepa mkono wa ICC.

ICC imetoa arrest Warrant kwa Putin, Majenerali wake Urusi na Netanyau pamoja na vikwazo vya Marekani na kiburi cha Urusi ndo ishindwe kwa Samia na vidampa wake kina Mombo, Mkunda, Awadhi Haji na Wambura?

Mtafurahishwa mwaka huu ccm.
 
Mimi mpaka Leo najiuliza....
Hakukuwa na mabomu ya machozi ?
Ok au risasi za mpira ?
Au maji ya kuwasha ?

Ni kitu Gani kilisababisha mpaka risasi za moto ziwe mbadala ?
Sawa risasi za moto zinatumika....je kwanini zinapigwa kwenye vifua na kichwani ? Hawaoni miguu ?

Kuna kitu kinaenda kutokea Tanzania....
Nahisi mwaka huu
 
Uwe unasoma Nyuzi, MALCOM LUMUMBA alieleza kinaga ubaga, maswali yalo yana majibu
 
Alifanya uamuzi wa kipuuzi sana wa kuua watu namna ile.....Kuna njia nyingi za kudhibiti maandamano na si ile amri ya shoot to kill.
Kosa lingine kubwa analofanya Samia baada ya haya mauaji ya kutisha ni Kila anapowashiwa maiki...anapofungua mdomo tu lazima aliongelee hili katika lugha ya kuudhi na kuleta chuki. Haleti utengemano ila anaharibu sana

Anaongea lugha mbovu sana juu ya hili swala. Sijui hawamshauri huko ndani au ni nini anawazaga anaposimanga watanganyika katika hili.
 
Back
Top Bottom