Mtamuua shangazi yangu!Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
Nimekula kiapo kwa uzi maalum humu JF. Mwaka huu Samia na washirika wake lazima watolewe Hati za kukamatwa na ICC.Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
Na hiyo ndo pona yake. Kwa hali ilivyo maisha yake yaliyobaki lazima ayamalizie jela ICC.Mtamuua shangazi yangu!
Tutaroga hatoenda huko walahiNa hiyo ndo pona yake. Kwa hali ilivyo maisha yake yaliyobaki lazima ayamalizie jela ICC.
Wanajumuia ya Mt.Yombo vituko kutoka Kanisa la Farther Mapendo nawaita huku Kwa jina la Baba Mtakatifu ni Mimi Mwenyekiti wa Jumuiya AGATHA YAKOB aka SANDRA MTAWIHabari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
Mkuu ondoa shaka kabisa !Adv.Tito Magoti ni Mtanzania pekee anayepewa update juu ya hii kesiHii habari inabidi iwe kweli.
Ingawa pia UHURU KENYATTA (Rais mstaafu wa Kenya ) anapigana kura kupona kuhakikisha Shetani Samuya anashindaHabari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
Alifanya uamuzi wa kipuuzi sana wa kuua watu namna ile.....Kuna njia nyingi za kudhibiti maandamano na si ile amri ya shoot to kill.Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
Tanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.Mkuu ondoa shaka kabisa !Adv.Tito Magoti ni Mtanzania pekee anayepewa update juu ya hii kesi
Nakwambiaje hata apiganiwe na Trump, huyu kibibi muuaji hawezi kukwepa mkono wa ICC.Ingawa pia UHURU KENYATTA (Rais mstaafu wa Kenya ) anapigana kura kupona kuhakikisha Shetani Samuya anashinda
Utaelewa sasa kama nyie wauaji ni sovereign country au vidampa tu?Tanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.
Uwe unasoma Nyuzi, MALCOM LUMUMBA alieleza kinaga ubaga, maswali yalo yana majibuMimi mpaka Leo najiuliza....
Hakukuwa na mabomu ya machozi ?
Ok au risasi za mpira ?
Au maji ya kuwasha ?
Ni kitu Gani kilisababisha mpaka risasi za moto ziwe mbadala ?
Sawa risasi za moto zinatumika....je kwanini zinapigwa kwenye vifua na kichwani ? Hawaoni miguu ?
Kuna kitu kinaenda kutokea Tanzania....
Nahisi mwaka huu
Sema wazi kuwa hamtakubali kuingiliwa kwenye mambo yenu ya kuua watu. Na umalizie kwa kusema kuwa ICC zitapelekwa maiti zenu, siyo ninyi mkiwa hai.Tanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.
Kwa tz sio nchi huru?Sema wazi kuwa h
Sema wazi kuwa hamtakubali kuingiliwa kwenye mambo yenu ya kuua watu. Na umalizie kwa kusema kuwa ICC zitapelekwa maiti zenu, siyo ninyi mkiwa hai.
Kosa lingine kubwa analofanya Samia baada ya haya mauaji ya kutisha ni Kila anapowashiwa maiki...anapofungua mdomo tu lazima aliongelee hili katika lugha ya kuudhi na kuleta chuki. Haleti utengemano ila anaharibu sanaAlifanya uamuzi wa kipuuzi sana wa kuua watu namna ile.....Kuna njia nyingi za kudhibiti maandamano na si ile amri ya shoot to kill.