Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Humu ndani heshima wanayo, wameshagundua kwamba huwezi kucheza na dola ukabakia salama.Hatari sana
Wajaribu tena waone cha mtema kuni
Wakiambiwa waheshimu dola wanajitia wao ni manunda
Nimekueleza kuwa hata shetani yupo lakini haimaanishi uislam au ukristo umemshindwa
Ndio maana nikasema hamna akili wala maarifa, hapo umebold nilichokisemaJamaa walivaa fulana nyeusi na jeans mpya za kamatia chini, ulikuwa ukiona landcruiser tinted halafu upo mahali mbali na nyumba inabidi usali sala yako ya mwisho.
Yule wa Kenya alikuwa Islamic??Wana dini tu hao, mbona Trump hawamshtaki?
Aliwaua wangapi? Wamebaki wangapi?Good mnakiri wenyewe Samia aliua kwanini sass hamtaki akajibu mashitaka yake ICC.
Kamsaidieni kujibu kibibi yenu huko ICCWell and good
Na wewe na hao jamaa zako waambie wakija tena road dola ipo inawasubiri
Walichofanywa wenzao ndicho watachofanywa wao.
Na heko kwako wametiii amri ya dola...
Ole wao.wangeingia tena road
Tuliza kinyeooooo kachambe kabongoke kwa Abdul.
Kazi yao siku ile haikuhitaji akili za mwanasayansi, walitakiwa warudishe utulivu mtaani mapema iwezekanavyo.Ndio maana nikasema hamna akili wala maarifa, hapo umebold nilichokisema
Unaamini katika Mungu unasema wewe ni Muislamu, lakini huamini nguvu za Mungu kwenye kupambana na shetani bali unaamini bunduki ya Askari kwenye kupambana na wasio na bundukiWell and good
Na wewe na hao jamaa zako waambie wakija tena road dola ipo inawasubiri
Walichofanywa wenzao ndicho watachofanywa wao.
Na heko kwako wametiii amri ya dola...
Ole wao.wangeingia tena road
Mkuu inawezekana ikawa hujapoteza ndugu lakini Kuna watanzania wengi wamepoteza maisha / viungo vya miili YaoKwaresma nitafunga kwa ajili ya hili. Sijapoteza ndugu lakini inaniuma sana Mo29
Kamsaidieni kujibu kibibi yenu huko ICC
Media gani unataka itoe taarifa ITV au Ayo TV au TBC1.Wako wapi waliohojiwa?.. halafu ICC imtaarifu Samia kuhusu kumshitaki na iwe Siri, media zisijue ujue wewe tu na akina sarungi?
Mwanzo mwisho nimesema hamna akili ukabisha, sasa hivi unakubali.Kazi yao siku ile haikuhitaji akili za mwanasayansi, walitakiwa warudishe utulivu mtaani mapema iwezekanavyo.
Utulivu uliporudi Rais akaweza kuapishwa kule Dodoma.
Mmemsababishia jela bibi yenuSisi tutamsaidia kudeal na nyinyi
Tena tunawatamani mrudi tena road tuwachezee hayo.masaburi
Huyo jamaa ni mjinga usihangaike naye mkuuUnaamini katika Mungu unasema wewe ni Muislamu, lakini huamini nguvu za Mungu kwenye kupambana na shetani bali unaamini bunduki ya Askari kwenye kupambana na wasio na bunduki
Haya maajabu
Atakuwa anajificha hadi lini.Sasa unategemea Samia atakuwa mjinga kwenda kwenye mataifa ambayo anahisi yatasababisha apelekewe moto?
Huwezi kuwaita mashujaa kwa sababu walichotaka kukifanya ni mapinduzi, walipewa kesi ya uhaini kwa kigezo cha huo uhalifu walioufanya.Mkuu inawezekana ikawa hujapoteza ndugu lakini Kuna watanzania wengi wamepoteza maisha / viungo vya miili Yao
Mbaya zaidi hakuna kumbukumbu zozote kuonesha haya ni makaburi ya mashujaa wa 29october
Hata hao hakuna justification yeyote, Je aliyeua maelfu na hataki dunia ijue ni wangapi utamteteaje.Kwamba kuua raia 22 is justified?
Mmemsababishia jela bibi yenu
Ukideal na sisi itamsaidia nini asikamatwe.Sisi tutamsaidia kudeal na nyinyi
Tena tunawatamani mrudi tena road tuwachezee hayo.masaburi