Hizi kauli zenu za shombo ndiyo sababu JF haipatikani bila VPNHoja ni kwamba tuna polisi dhaifu na wasiokuwa na akili kama wewe,wakamdanganya malaya kwamba walioandamana ni wageni malaya asivyokuwa na akili naye akakata mauno kwa kuuliza who are you.Hiyo miili iliyopotea lazima ilipiziwe kisasi na ndugu mmoja wao ni mimi **** wewe.
Tuliza kinyeo mimi ni muislamu siyo muislamu ubwabwa.Mnavyofanyana wewe na wale wavaa magauni basi usidhani hiyo michezo ni kwa kila mtu
Hoja ni kwamba tuna polisi dhaifu na wasiokuwa na akili kama wewe,wakamdanganya malaya kwamba walioandamana ni wageni malaya asivyokuwa na akili naye akakata mauno kwa kuuliza who are you.Hiyo miili iliyopotea lazima ilipiziwe kisasi na ndugu mmoja wao ni mimi **** wewe.
Siyo kauli ni fact hakuna kubembelezana mkinikamata mniue au niwaue.Hizi kauli zenu za shombo ndiyo sababu JF haipatikani bila VPN
Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
Hao wanajifanya ati ni wafia dini na kwamba wanamtetea muislam mwenzao******* hawa wanakuja hapa kutishatisha watu wanafikiri wanaogopwa.
Noma sana, Chadema ya zamani tulichelewa kuigunduaNimemsikia Esther Bulaya anamsifia Samia Suluhu bungeni, nikajisikia kukata tamaa kabisa kuhusu nchi hii
Unasema tutamuua shangazi yako, wewe kwanini hukumzuia kuua Watanzania wasiokuwa na hatia?Mtamuua shangazi yangu!
Hehehe yaani mambo ya ajabu kweli kweliHao wanajifanya ati ni wafia dini na kwamba wanamtetea muislam mwenzao
Ila hawajui wauaji walikuwa wanauwa watu wa dini zote
Hawakuuliza dini wao waliuwa dini
Uko sahihi sana mkuu, na hilo ndo linakupa picha ya kugundua it was entirely a planned and controlled missionMimi mpaka Leo najiuliza....
Hakukuwa na mabomu ya machozi ?
Ok au risasi za mpira ?
Au maji ya kuwasha ?
Ni kitu Gani kilisababisha mpaka risasi za moto ziwe mbadala ?
Sawa risasi za moto zinatumika....je kwanini zinapigwa kwenye vifua na kichwani ? Hawaoni miguu ?
Kuna kitu kinaenda kutokea Tanzania....
Nahisi mwaka huu
Bila shoot to kill ingekuwa vigumu kudhibiti zile vurugu zilizolipuka mikoa zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Bila shoot to kill sasa hivi tungekuwa ni Sudan nyingine
Kwa hiyo hivyo vituo vya mwendokasi, ofisi za TRA, Mahakama, Polisi walichoma wakiwa majumbani kwao?Shida mumewekwa kwenye vitengo halafu hamna ELIMU yoyote na uwezo ni mdogo
Shoot and kill Kwa raia asiyekuwa na Silaha hakuna Sheria ya namna hiyo kimataifa!!
Shoot and kill huwezi kuwafuata nyumbani na kwenye vibanda umiza wasio husika
Shoot and kill huwezi kufyatua risasi sehemu ambayo wandamaji hawapo ?
RAIA asiye kuwa na Silaha ya moto mabomu ya machozi na maji ya washawasha yanatosha kumkimbiza
Polisi , JWTZ na wote mlioko kwenye vitengo mnafikiria Kwa kutumia makalio
Ni kwa sababu walikaidi taratibu za sheria na kanuni. Kwa nini uandamane siku ya uchaguzi mkuu? Kwanini uchome miundombinu na kuiba mali za watu binafsiKwanini tulifika hapo kwenye machafuko ya mpaka mikoa 5 kulipuka ghafla??
Watu wanasema watakinukisha na kuzuia uchaguzi, kwa nini uwachekee?Uamuzi wa kuua haukuwa sahihi hata kidogo...ukiona watu wanaandamana kwenye utawala wako ni kutatua kero zao tu au kama huwezi achia ngazi wape wengine.
Hao ICC kwanza wamkamate na kumfunga Itanyau halafu waje kwa raisi wetu.Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
Watu wanasema watakunukisha na kuzuia uchaguzi, kwa nini uwachekee?
Wanasema wanaandamana lakini hakuna viongozi wa maandamano wala hawana mabango. Instead wamebeba mabomu ya petroli (molotov) wanapita wanawasha vituo vya petroli!!
Kama tungecheka na nyani leo tungekuwa vipande vioande kama Sudan