Tiwa Savage; Sijui kwanini, natongozwa zaidi na wanawake kuliko wanaume

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Mwanamuziki wa Nigeria Tiwa Savage amefichua kwamba anatongozwa na wanawake mara nyingi zaidi kuliko wanaume.

Akizungumza wakati wa mahojiano na kituo cha Beat 99.9 FM jijini Lagos, Tiwa aliulizwa kuhusu ufuatiliaji anaopata kutoka kwa wanawake,

Alijibu "Kwa kweli sijui kwa nini, lakini wanawake wengi zaidi hunitongoza kuliko wanaume. Sijui kwa nini."
Maongezi hayo pia yaligusia nafasi ya Tiwa katika sekta ya muziki nchini Nigeria na mjadala unaoendelea kuhusu "Big Three" (Wasanii Watatu Wakubwa) wa nchi hiyo.

Tiwa alieleza kwa kujiamini kuwa linapokuja suala la kipaji na utumbuizaji, anajichukulia kuwa yeye ndiye "Big One" (Mkubwa Kuliko Wote).

1788168276570.png
 
View attachment 3660499
Inasikitisha sana kolorado kolorado.
 
Sijui kwa nini kwenye mambo kama haya, wanaume sura hua hazionekani ila wanawake kila kitu kipo wazi, mwili mzima unaonekana...
Kwasababu wapo smart. Hata mwijaku na Meninah hakuonekana sura ya kichwa cha juu ...😂
 
Sijui kwa nini kwenye mambo kama haya, wanaume sura hua hazionekani ila wanawake kila kitu kipo wazi, mwili mzima unaonekana...

Mbona zingine hadi wanaume sura zinaonekana, inategemea makubaliano.
 
Back
Top Bottom