Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Mwanamuziki wa Nigeria Tiwa Savage amefichua kwamba anatongozwa na wanawake mara nyingi zaidi kuliko wanaume.
Akizungumza wakati wa mahojiano na kituo cha Beat 99.9 FM jijini Lagos, Tiwa aliulizwa kuhusu ufuatiliaji anaopata kutoka kwa wanawake,
Alijibu "Kwa kweli sijui kwa nini, lakini wanawake wengi zaidi hunitongoza kuliko wanaume. Sijui kwa nini."
Maongezi hayo pia yaligusia nafasi ya Tiwa katika sekta ya muziki nchini Nigeria na mjadala unaoendelea kuhusu "Big Three" (Wasanii Watatu Wakubwa) wa nchi hiyo.
Tiwa alieleza kwa kujiamini kuwa linapokuja suala la kipaji na utumbuizaji, anajichukulia kuwa yeye ndiye "Big One" (Mkubwa Kuliko Wote).