Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Muwe mnaelewa na kukubali ukweli kuwa hakuna mtu anayekubalika na kuaminika kwa sasa kumpita Rais Samia katika uwanja na ulingo wa siasa .Tukubali kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake kwa sasa katika kuongoza muhula wa pili.tukubali ukweli kuwa CCM inapaswa kuchapisha Fomu moja tu ya Urais kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa Rais Samia.
Ni lazima tukubali kuwa CCM Ina chaguo moja tu kwa nafasi ya Urais ambaye ni Mama Samia. Tusema ukweli kuwa hakuna mtu yeyote yule mwenye uwezo wala ushawishi wala nguvu wala uwezo wala ubavu wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.
Rais Samia ndiye mtu pekee anayekubalika,kuaminika,kuaminiwa,kukubalika,kupendwa , kuungwa mkono na Mwenye ushawishi Kwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.ndiye aliyebeba na kushikilia matumaini na furaha ya watanzania.ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili .unune au utukane matusi hadi ya nguoni kwa chuki zako binafsi.lakini ukweli unabakia kuwa RAIS Samia ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Embu tizama katika picha hizi namna Rais wetu Mpendwa alivyolakiwa na kupokelewa kwa maelfu kwa maelfu katika ziara yake huko Ruvuma. Kwa hakika huyu Mama ni kipenzi cha watanzania.hazuiliki huyu mama katika mioyo ya watanzania.
Hapa chini pichani akionyesha upendo wake kama mama kwa kuwabeba watoto juu ya gari yake na kuonyesha namna alivyo mama mwenye upendo kwa watoto .ndio maana anajenga shule kwa wingi,kuajiri walimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya watoto hawa.