Tizama Katika Picha Namna Watu walivyofurika Maelfu Kwa Maelfu Kumlaki na kumsikiliza Rais Samia Mkoani Ruvuma

Tizama Katika Picha Namna Watu walivyofurika Maelfu Kwa Maelfu Kumlaki na kumsikiliza Rais Samia Mkoani Ruvuma

Ndugu zangu Watanzania,

Muwe mnaelewa na kukubali ukweli kuwa hakuna mtu anayekubalika na kuaminika kwa sasa kumpita Rais Samia katika uwanja na ulingo wa siasa .Tukubali kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake kwa sasa katika kuongoza muhula wa pili.tukubali ukweli kuwa CCM inapaswa kuchapisha Fomu moja tu ya Urais kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa Rais Samia.

Ni lazima tukubali kuwa CCM Ina chaguo moja tu kwa nafasi ya Urais ambaye ni Mama Samia. Tusema ukweli kuwa hakuna mtu yeyote yule mwenye uwezo wala ushawishi wala nguvu wala uwezo wala ubavu wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.

Rais Samia ndiye mtu pekee anayekubalika,kuaminika,kuaminiwa,kukubalika,kupendwa , kuungwa mkono na Mwenye ushawishi Kwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.ndiye aliyebeba na kushikilia matumaini na furaha ya watanzania.ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili .unune au utukane matusi hadi ya nguoni kwa chuki zako binafsi.lakini ukweli unabakia kuwa RAIS Samia ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Embu tizama katika picha hizi namna Rais wetu Mpendwa alivyolakiwa na kupokelewa kwa maelfu kwa maelfu katika ziara yake huko Ruvuma. Kwa hakika huyu Mama ni kipenzi cha watanzania.hazuiliki huyu mama katika mioyo ya watanzania.

View attachment 3105353View attachment 3105355View attachment 3105356

Hapa chini pichani akionyesha upendo wake kama mama kwa kuwabeba watoto juu ya gari yake na kuonyesha namna alivyo mama mwenye upendo kwa watoto .ndio maana anajenga shule kwa wingi,kuajiri walimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya watoto hawa.

View attachment 3105359
Hao ni wajinga wamesombwa kutoka nchi nzima, shithole leader
 
Wanagurika kwa lipi? UWT tumetokea Bukoba,kuja huku kuongeza idadi.
Watu wamelipwa kwenda uwanjani
 
Unafiki wake upo wapi? Kosa lake ni nini?
huyo ni Tajiri wa mihemko tu, utadhani nyumbu 🤣

hapendi ukweli kabisaaaa, yaani hizo picha za love za wanaRuvuma kwa kipenz chao Rais Dr.Samia Suluhu Hassan yeye anaumia moyo kweli 🤣
 
huyo ni Tajiri wa mihemko tu, utadhani nyumbu 🤣

hapendi ukweli kabisaaaa, yaani hizo picha za love za wanaRuvuma kwa kipenz chao Rais Dr.Samia Suluhu Hassan yeye anaumia moyo kweli 🤣
Kama anahasira sana na kuumizwa na mafuriko ya maelfu kwa maelfu ya watu wenye upendo mkubwa kwa Rais Samia.basi nashauri kuwa ni bora ajinyonge tu na kufa kabisa Kabla hajafa kwa presha .
 
Wewe ni sawa na taulo ya kike iliyotumika
Naona presha imekupanda .angalia usije kufa kwa wivu na chuki zako binafsi kwa mafuriko ya watu wanaomiminika na kufurika katika mikutano ya Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
 
Wazee wa Bahasha katika ligi yenu.
Ugali sio mchezo.
Naona kiwango cha mihemko na makasiriko kinaweza kua kimevuka mipaka halisi ya maumivu moyo na hasa ukizingatia maandamano yamefeli kwa kiwango kibaya sana 🤣

Dah aise,
sio kwa picha hizo aise, watu wa Ruvuma wanampenda, wanamkubali na wanamuamini mno Rais na kipenz cha waTanzani Dr.Samia Suluhu Hassan, ni kwa kiwango cha juu mno wanampenda kiongozi huyu dah, si mchezo 🐒
 
Ruhusuni uchaguzi huru na wa haki bila wizi na mitutu ya bunduku za polisi ndiyo mtajua kuwa anapendwa au hapendwi. Huku Kanda ya Ziwa ndiyo kabisa hatutaki kumsikia.
 
Mi naomba picha ya maandamano ya jana jamani nijionee maelfu ya watanzania wakiandamana na slogan yao 'samia must go'.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bibi hauziki Lucas! Unapoteza muda !
Hauziki wakati unaona namna watu walivyofurika kwa Maelfu?

Ngoja nikuwekea na picha za mikoa mingine na video
Screenshot_20240805-224054_1.jpg
 
Ruhusuni uchaguzi huru na wa haki bila wizi na mitutu ya bunduku za polisi ndiyo mtajua kuwa anapendwa au hapendwi. Huku Kanda ya Ziwa ndiyo kabisa hatutaki kumsikia.
Kwa hiyo kumbe unawaogopa sana polisi kama Ukoma? Kweli sasa imekukaa sawa maana ulijifanyaga kichwa maji na kichwa ngumu kwa kujifanya huwaogopi polisi.
 
Naona kiwango cha mihemko na makasiriko kinaweza kua kimevuka mipaka halisi ya maumivu moyo na hasa ukizingatia maandamano yamefeli kwa kiwango kibaya sana 🤣

Dah aise,
sio kwa picha hizo aise, watu wa Ruvuma wanampenda, wanamkubali na wanamuamini mno Rais na kipenz cha waTanzani Dr.Samia Suluhu Hassan, ni kwa kiwango cha juu mno wanampenda kiongozi huyu dah, si mchezo 🐒
Ma CHADEMA yamechanganyikiwa kabisa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom