Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unapiga porojoNiko ruvuma ukwel ni kwamba watu weng mmefanya kuwabebelea toka wilaya za jilan kwa kuwalipa mabaloz pesa ooh ngoja nikae kimya
Ndugu zangu Watanzania,
Muwe mnaelewa na kukubali ukweli kuwa hakuna mtu anayekubalika na kuaminika kwa sasa kumpita Rais Samia katika uwanja na ulingo wa siasa .Tukubali kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake kwa sasa katika kuongoza muhula wa pili.tukubali ukweli kuwa CCM inapaswa kuchapisha Fomu moja tu ya Urais kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa Rais Samia.
Ni lazima tukubali kuwa CCM Ina chaguo moja tu kwa nafasi ya Urais ambaye ni Mama Samia. Tusema ukweli kuwa hakuna mtu yeyote yule mwenye uwezo wala ushawishi wala nguvu wala uwezo wala ubavu wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.
Rais Samia ndiye mtu pekee anayekubalika,kuaminika,kuaminiwa,kukubalika,kupendwa , kuungwa mkono na Mwenye ushawishi Kwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.ndiye aliyebeba na kushikilia matumaini na furaha ya watanzania.ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili .unune au utukane matusi hadi ya nguoni kwa chuki zako binafsi.lakini ukweli unabakia kuwa RAIS Samia ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Embu tizama katika picha hizi namna Rais wetu Mpendwa alivyolakiwa na kupokelewa kwa maelfu kwa maelfu katika ziara yake huko Ruvuma. Kwa hakika huyu Mama ni kipenzi cha watanzania.hazuiliki huyu mama katika mioyo ya watanzania.
View attachment 3105353View attachment 3105355View attachment 3105356
Hapa chini pichani akionyesha upendo wake kama mama kwa kuwabeba watoto juu ya gari yake na kuonyesha namna alivyo mama mwenye upendo kwa watoto .ndio maana anajenga shule kwa wingi,kuajiri walimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya watoto hawa.
View attachment 3105359
Mama anapendwa na kukubalika sana na watanzania wenye akili Timamu na wanaojitambuaMama hauziki tena bila kutatua tatizo la katiba, watu kuuliwa kama mbwa hataweza kuheshimiwa kama zamani. Hata mimi kanitoka mpaka haya yarekebishwe
Wewe mwenye mtindio wa ubongo ndiyo uende hospitalini. Hadi leo hujastuka tu kuwa huteuliwi, utaishia kutupiwa makombo tu.Kwanini usionane na daktari?
sawa chawa sasa picha za nini kama unapedwa!Mama anapendwa na kukubalika sana na watanzania wenye akili Timamu na wanaojitambua
Mambo yameshaharibika sana.Anaandaliwa mgombea mwingine huyu hatoshi tena.Mama hauziki tena bila kutatua tatizo la katiba, watu kuuliwa kama mbwa hataweza kuheshimiwa kama zamani. Hata mimi kanitoka mpaka haya yarekebishwe
Naona mnafarijiana Kama wafiwa / wajane vile.Naona kiwango cha mihemko na makasiriko kinaweza kua kimevuka mipaka halisi ya maumivu moyo na hasa ukizingatia maandamano yamefeli kwa kiwango kibaya sana 🤣
Dah aise,
sio kwa picha hizo aise, watu wa Ruvuma wanampenda, wanamkubali na wanamuamini mno Rais na kipenz cha waTanzani Dr.Samia Suluhu Hassan, ni kwa kiwango cha juu mno wanampenda kiongozi huyu dah, si mchezo 🐒
Njaa ni mbaya sana watu wajinga wanauza utu waoWazee wa Bahasha katika ligi yenu.
Ugali sio mchezo.
Ninyi Ma CHADEMA ndio mfarijiane kwa kushindwa kwenu kufanya maandamano kwa kukosa watuNaona mnafarijiana Kama wafiwa / wajane vile.
Wajinga siku zote ni mtaji wa matapeli.
Bahasha njema makada.
ushirikina na ramli za mtu au chama chochote cha upinzani, haziwezi kabisa, kuzuia waTanzania kumpenda, kumuamini na kumuunga mkono kiongozi wao makini sana, na kipenz cha waTanzani wote Dr.Samia Suluhu Hassan kitaifa na kimataifa..Naona mnafarijiana Kama wafiwa / wajane vile.
Wajinga siku zote ni mtaji wa matapeli.
Bahasha njema makada.
Wewe ndiye hutoshi wala kustahili kufanya mjadala au mazungumzo na watu wenye akili Timamu na wanaojitambua kama mimi .wewe pata matibabu kwanza.Mambo yameshaharibika sana.Anaandaliwa mgombea mwingine huyu hatoshi tena.
Kama anapendwa kweli hatuhitaji kuambiwa anapendwa. Akiwa Mwanza, Tabora na Morogoro tulionyeshwa mafuriko kama hayo. Lakini, sambamba na picha hizo za mafuriko kulionyeshwa pia memo kutoka uongozi mkoani zikiagiza wafanyakazi wote lazima wahudhurie mkutano wa Rais na ichukuliwe orodha ya wasiohudhuria ili kuwachukulia hatua. Kwa hiyo picha za mafuriko ni ngonjera tu. Mtu anayependwa itajidhihirisha yenyewe tu . Chema chajiuza; kibaya chajitembeza.Ndugu zangu Watanzania,
Muwe mnaelewa na kukubali ukweli kuwa hakuna mtu anayekubalika na kuaminika kwa sasa kumpita Rais Samia katika uwanja na ulingo wa siasa .Tukubali kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake kwa sasa katika kuongoza muhula wa pili.tukubali ukweli kuwa CCM inapaswa kuchapisha Fomu moja tu ya Urais kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa Rais Samia.
Ni lazima tukubali kuwa CCM Ina chaguo moja tu kwa nafasi ya Urais ambaye ni Mama Samia. Tusema ukweli kuwa hakuna mtu yeyote yule mwenye uwezo wala ushawishi wala nguvu wala uwezo wala ubavu wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.
Rais Samia ndiye mtu pekee anayekubalika,kuaminika,kuaminiwa,kukubalika,kupendwa , kuungwa mkono na Mwenye ushawishi Kwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.ndiye aliyebeba na kushikilia matumaini na furaha ya watanzania.ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili .unune au utukane matusi hadi ya nguoni kwa chuki zako binafsi.lakini ukweli unabakia kuwa RAIS Samia ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Embu tizama katika picha hizi namna Rais wetu Mpendwa alivyolakiwa na kupokelewa kwa maelfu kwa maelfu katika ziara yake huko Ruvuma. Kwa hakika huyu Mama ni kipenzi cha watanzania.hazuiliki huyu mama katika mioyo ya watanzania.
View attachment 3105353View attachment 3105355View attachment 3105356
Hapa chini pichani akionyesha upendo wake kama mama kwa kuwabeba watoto juu ya gari yake na kuonyesha namna alivyo mama mwenye upendo kwa watoto .ndio maana anajenga shule kwa wingi,kuajiri walimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya watoto hawa.
View attachment 3105359
Nenda na wewe upokelewe kama hivyo. huoni CHADEMA jana walikosa waandamanaji?Kama anapendwa kweli hatuhitaji kuambiwa anapendwa. Akiwa Mwanza, Tabora na Morogoro tulionyeshwa mafuriko kama hayo. Lakini, sambamba na picha hizo za mafuriko kulionyeshwa pia memo kutoka uongozi mkoani zikiagiza wafanyakazi wote lazima wahudhurie mkutano wa Rais na ichukuliwe orodha ya wasiohudhuria ili kuwachukulia hatua. Kwa hiyo picha za mafuriko ni ngonjera tu. Mtu anayependwa itajidhihirisha yenyewe tu . Chema chajiuza; kibaya chajitembeza.
Mama wa shoka , chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyongeMheshimiwa mama daktari rais samia suluhu Hassan🤣🤣
Hapo hela ya waarabu imetumika sana kusomba watu ili kuhadaa umma kuwa kiongozi wa watekaji anakubalika.Ndugu zangu Watanzania,
Muwe mnaelewa na kukubali ukweli kuwa hakuna mtu anayekubalika na kuaminika kwa sasa kumpita Rais Samia katika uwanja na ulingo wa siasa .Tukubali kuwa RAIS Samia hana Mbadala wake kwa sasa katika kuongoza muhula wa pili.tukubali ukweli kuwa CCM inapaswa kuchapisha Fomu moja tu ya Urais kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa Rais Samia.
Ni lazima tukubali kuwa CCM Ina chaguo moja tu kwa nafasi ya Urais ambaye ni Mama Samia. Tusema ukweli kuwa hakuna mtu yeyote yule mwenye uwezo wala ushawishi wala nguvu wala uwezo wala ubavu wa kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.
Rais Samia ndiye mtu pekee anayekubalika,kuaminika,kuaminiwa,kukubalika,kupendwa , kuungwa mkono na Mwenye ushawishi Kwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.ndiye aliyebeba na kushikilia matumaini na furaha ya watanzania.ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili .unune au utukane matusi hadi ya nguoni kwa chuki zako binafsi.lakini ukweli unabakia kuwa RAIS Samia ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Embu tizama katika picha hizi namna Rais wetu Mpendwa alivyolakiwa na kupokelewa kwa maelfu kwa maelfu katika ziara yake huko Ruvuma. Kwa hakika huyu Mama ni kipenzi cha watanzania.hazuiliki huyu mama katika mioyo ya watanzania.
View attachment 3105353View attachment 3105355View attachment 3105356
Hapa chini pichani akionyesha upendo wake kama mama kwa kuwabeba watoto juu ya gari yake na kuonyesha namna alivyo mama mwenye upendo kwa watoto .ndio maana anajenga shule kwa wingi,kuajiri walimu na kujenga vituo vya afya kwa ajili ya watoto hawa.
View attachment 3105359
Kwenda huko na unafiki wako hapa wewe. Wewe ndiye kila siku ulikuwa unasema utaandamana lakini jana umetokomea na kujificha uvunguniHapo hela ya waarabu imetumika sana kusomba watu ili kuhadaa umma kuwa kiongozi wa watekaji anakubalika.
Hapo kuna polisi wenye silaha waliokataza watu kujitokeza kwenye ziara ya huyo mtekaji?Nenda na wewe upokelewe kama hivyo. huoni CHADEMA jana walikosa waandamanaji?