Tizama Katika Picha Namna Watu walivyofurika Maelfu Kwa Maelfu Kumlaki na kumsikiliza Rais Samia Mkoani Ruvuma

Hao ni wajinga wamesombwa kutoka nchi nzima, shithole leader
 
Wanagurika kwa lipi? UWT tumetokea Bukoba,kuja huku kuongeza idadi.
Watu wamelipwa kwenda uwanjani
 
Unafiki wake upo wapi? Kosa lake ni nini?
huyo ni Tajiri wa mihemko tu, utadhani nyumbu 🀣

hapendi ukweli kabisaaaa, yaani hizo picha za love za wanaRuvuma kwa kipenz chao Rais Dr.Samia Suluhu Hassan yeye anaumia moyo kweli 🀣
 
huyo ni Tajiri wa mihemko tu, utadhani nyumbu 🀣

hapendi ukweli kabisaaaa, yaani hizo picha za love za wanaRuvuma kwa kipenz chao Rais Dr.Samia Suluhu Hassan yeye anaumia moyo kweli 🀣
Kama anahasira sana na kuumizwa na mafuriko ya maelfu kwa maelfu ya watu wenye upendo mkubwa kwa Rais Samia.basi nashauri kuwa ni bora ajinyonge tu na kufa kabisa Kabla hajafa kwa presha .
 
Wewe ni sawa na taulo ya kike iliyotumika
Naona presha imekupanda .angalia usije kufa kwa wivu na chuki zako binafsi kwa mafuriko ya watu wanaomiminika na kufurika katika mikutano ya Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
 
Wazee wa Bahasha katika ligi yenu.
Ugali sio mchezo.
Naona kiwango cha mihemko na makasiriko kinaweza kua kimevuka mipaka halisi ya maumivu moyo na hasa ukizingatia maandamano yamefeli kwa kiwango kibaya sana 🀣

Dah aise,
sio kwa picha hizo aise, watu wa Ruvuma wanampenda, wanamkubali na wanamuamini mno Rais na kipenz cha waTanzani Dr.Samia Suluhu Hassan, ni kwa kiwango cha juu mno wanampenda kiongozi huyu dah, si mchezo πŸ’
 
Ruhusuni uchaguzi huru na wa haki bila wizi na mitutu ya bunduku za polisi ndiyo mtajua kuwa anapendwa au hapendwi. Huku Kanda ya Ziwa ndiyo kabisa hatutaki kumsikia.
 
Mi naomba picha ya maandamano ya jana jamani nijionee maelfu ya watanzania wakiandamana na slogan yao 'samia must go'.🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mi naomba picha ya maandamano ya jana jamani nijionee maelfu ya watanzania wakiandamana na slogan yao 'samia must go'.🀣🀣🀣🀣🀣
CHADEMA mnapata maumivu makali sana mkiona mafuriko ya namna hiyo.
 
Ruhusuni uchaguzi huru na wa haki bila wizi na mitutu ya bunduku za polisi ndiyo mtajua kuwa anapendwa au hapendwi. Huku Kanda ya Ziwa ndiyo kabisa hatutaki kumsikia.
Kwa hiyo kumbe unawaogopa sana polisi kama Ukoma? Kweli sasa imekukaa sawa maana ulijifanyaga kichwa maji na kichwa ngumu kwa kujifanya huwaogopi polisi.
 
Ma CHADEMA yamechanganyikiwa kabisa kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…