Kwahiyo kuna dalili kwamba baada ya handshake, Omicron wengi watawafuata Covid-19 na huenda Mdee akapata mtaji wa wanachama wa kuanzia au? Tudadavulie...Watu wa Lisu inawauma sana maridhiano
Bosi wako Mbowe kila siku yuko Ikulu....Unadhani Juisi na Mahanjumati ya Ikulu mchezl?Ikulu ya Tanzania nayo ni sehemu ya kuimiss?!
Bosi wako Mbowe kila siku yuko Ikulu....Unadhani Juisi na Mahanjumati ya Ikulu mchezl?
Mkiambiwa mwende shule mnakuwa wabishi. Mnaamini kujua kusoma na kuandika inatosha. Yaani kabisa wewe unaona picha ni moja huoni tofauti ya mikono ya Samia? Shule inasaidia kuchangamsha ubongo pia siyo kufuta Ujinga tu.Mbona sijaona ukiweka picha kadhaa tuone anavyocheka cheka kila mara nadala yake umetuonesha akitabasamu tena naona hata Rais ametabasamu kwenye picha... By the way picha ni moja tu hiyo umeizoom ukaikata kipande tuone kwa karibu kisha ukairudia ikiwa full bila kuzoom
We endelea kupiga mayowe mtaani...Mbowe yuko Ikulu anakunywa juisi na Rais.....Haichekeshi.
We endelea kupiga mayowe mtaani...Mbowe yuko Ikulu anakunywa juisi na Rais.....
Kwa hiyo unavyotukana unajiona bonge moja la mjanja...😄😄😄...Chadema bana.... WatuJuice kitu we khanithi, nyie ndio huwa mnabanduliwa kwa kuendekeza msosi.
Kwa hiyo unavyotukana unajiona bonge moja la mjanja...😄😄😄...Chadema bana.... Watu
Alizaliwa 1961 mwaka ambao Nchi inapata UHURU, ni Freeman, HAKI inakaandani yake, Hatua hiyo uionayo ktk picha wengi wametangulia mbele za HAKI wakitamani kuiona wasiweze. Ni KWEMA MBELENI. Amen.Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...
Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?
Yaani hata Samia anamshinda amechora uso wa u serious. Yeye anacheka cheka kila wakati. Anafurahia kwenda Ikulu kupiga picha? Matokeo yake wanayapuuzia hata wanayokubaliana. Mtoto wa kiume unatakiwa kuwa serious kwenye mambo ya msingi.
Baadaye muanze kulalamika kuwa mambo yenu hayatimizwi. Yatatimizwa vipi hamwoneshi kuwa serious. Unapataje muda wa kutabasamu katika hali ya kizungumzuki kama hii kwenye nchi.
View attachment 2233089
View attachment 2233091
Mwambie Huyu mwenye chuki.. pumbafuu zake...Hivi kuwa serious ni kuonekana umenuna au umekunja uso.
Wacha kujadili watu, jadili issues. Kujadili watu ni upumbavu.Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...
Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?
Yaani hata Samia anamshinda amechora uso wa u serious. Yeye anacheka cheka kila wakati. Anafurahia kwenda Ikulu kupiga picha? Matokeo yake wanayapuuzia hata wanayokubaliana. Mtoto wa kiume unatakiwa kuwa serious kwenye mambo ya msingi.
Baadaye muanze kulalamika kuwa mambo yenu hayatimizwi. Yatatimizwa vipi hamwoneshi kuwa serious. Unapataje muda wa kutabasamu katika hali ya kizungumzuki kama hii kwenye nchi.
View attachment 2233089
View attachment 2233091
Unanikumbusha ile misemo ya waswahili, unanenepa wakati nakudai.Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...
Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?
Yaani hata Samia anamshinda amechora uso wa u serious. Yeye anacheka cheka kila wakati. Anafurahia kwenda Ikulu kupiga picha? Matokeo yake wanayapuuzia hata wanayokubaliana. Mtoto wa kiume unatakiwa kuwa serious kwenye mambo ya msingi.
Baadaye muanze kulalamika kuwa mambo yenu hayatimizwi. Yatatimizwa vipi hamwoneshi kuwa serious. Unapataje muda wa kutabasamu katika hali ya kizungumzuki kama hii kwenye nchi.
View attachment 2233089
View attachment 2233091
UshuziKila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...
Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?
Yaani hata Samia anamshinda amechora uso wa u serious. Yeye anacheka cheka kila wakati. Anafurahia kwenda Ikulu kupiga picha? Matokeo yake wanayapuuzia hata wanayokubaliana. Mtoto wa kiume unatakiwa kuwa serious kwenye mambo ya msingi.
Baadaye muanze kulalamika kuwa mambo yenu hayatimizwi. Yatatimizwa vipi hamwoneshi kuwa serious. Unapataje muda wa kutabasamu katika hali ya kizungumzuki kama hii kwenye nchi.
View attachment 2233089
View attachment 2233091
Kwani kukunja uso ndio userious mawazo potofu alikopitia mbowe ww ata ukucha ungeshakufa mbowe ni mwanasiasa mkomavu
Unaliwa na huyo unayemlilia?poleKwani ukikubali kuwa uko sokoni kuna shida gani na hayo ndiyo maisha uliyochagua ? Unaliwa sana.
Unaota mafi mafi wewe, nenda ukanye kwanza.Mbowe ana furaha anajua katiba itapatikana kabla ya uchaguzi Mkuu!!ni ccm ndio inaenda kupoteza dola huko MBELENI!!!