Tizama Mbowe anavyofurahia safari za Ikulu. Haonekani kuwa Serious Ndo Maana hata Mazungumzo ya huko yanakosa Tija

Hakuna upinzani kwetu hapa, bora kiti wapewe Mch. Msigwa na Lema waendelee kuonyesha kwamba hatuna upinzani..
siasa za kishamba zimeshaondoka na aliyeziasisi - sote ni watanzania na taifa letu ni moja.
 
Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...

Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?

Yaani hata Samia anamshinda amechora uso wa u serious. Yeye anacheka cheka kila wakati. Anafurahia kwenda Ikulu kupiga picha? Matokeo yake wanayapuuzia hata wanayokubaliana. Mtoto wa kiume unatakiwa kuwa serious kwenye mambo ya msingi.

Baadaye muanze kulalamika kuwa mambo yenu hayatimizwi. Yatatimizwa vipi hamwoneshi kuwa serious. Unapataje muda wa kutabasamu katika hali ya kizungumzuki kama hii kwenye nchi.

View attachment 2233089

View attachment 2233091
Tuwekee na picha zake za mahakamani wakati wa kesi za ugaidi ili tuzifananishe tuone kama kuna tofauti.
 
Unaota mafi mafi wewe, nenda ukanye kwanza.
Kwa upinzani huo ccm mtaiona inapiga matarumbeta tu daily.
Acha kukariri, WAKOLONI walikuwa na mawazo kama Yako, matokeo yake Nyerere akachukua Tanganyika na kusaidia ukombozi Nchi nyingi AFRIKA, hakuwa hata na mgambo!!!

CCM ilishajifia mapema, utahakikisha pale Itakapotenganishwa na DOLA. Nyerere hakuijenga CCM ktk msingi wa KULAMBA ASALI😠😠😠
 
Endelea kuota,iko pale hicho chama.
Mbowe analala na kuamka ikulu.
 
Kila picha yeye utamwona anatabasamu flani hivi la.... Sisi watoto wa Mjini tunaelewa. Kuwa kwake mambo fresh...

Wenzie wote huwa wanaonesha wapo serious. Yeye anapataje nafasi ya kutabasamu nchi yenyewe ishakuwa ngumu hii? Anachochekelea ni nini hasa?

Yaani hata Samia anamshinda amechora uso wa u serious. Yeye anacheka cheka kila wakati. Anafurahia kwenda Ikulu kupiga picha? Matokeo yake wanayapuuzia hata wanayokubaliana. Mtoto wa kiume unatakiwa kuwa serious kwenye mambo ya msingi.

Baadaye muanze kulalamika kuwa mambo yenu hayatimizwi. Yatatimizwa vipi hamwoneshi kuwa serious. Unapataje muda wa kutabasamu katika hali ya kizungumzuki kama hii kwenye nchi.

View attachment 2233089

View attachment 2233091
Mbona zile za tabasamu akiwa mahakaman husemi?
 
Endelea kuota,iko pale hicho chama.
Mbowe analala na kuamka ikulu.
Ni Kweli hv sasa anaingia IKULU, bt usisahau pia aliingia JELA pia. Muda umefika wote Tutaongea LUGHA moja ya KATIBA mpya.
 
Back
Top Bottom