Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

Aliandaliwa kufanya nini? Kusema "flat chested athletes" ?
 
Labda ameinuliwa na Baali.
Mungu wa Mbinguni ndiye kamuinua Mama yetu kumfikisha hapo alipo.ndio maana Taifa linaendelea kuwa na neema ,baraka, utulivu,amani, umoja wa kitaifa na mshikamano miongoni mwa watanzania
 
Kipindi Shetani amekwenda kumpindua Mungu mbinguni unadhani Malaika wote walisema Shetani amekosea?! Wapo malaika wengi tu ambao waliunga mkono shughuli na harakati.
Rais Samia ni Mpango wa Mungu na siyo shetani.ndio maana unaona amani na utulivu vikitamalaki sana hapa nchini
 
Ridhiki ✖️

Riziki ✔️

Shambani kuna zao linaitwa Samia?

Maana kila mada unayoleta humu ni ya Samia , sijawahi kuona mada ya kilimo umeleta humu na unadai wewe ni mkulima.
Kwani ulishaona hapa jukwaani wanagawa pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…