Tizama waandishi wa Uganda Wanavyomuandika Diamond

waafrica, dormant mind,sikuhizi kina baba wanabeba watoto wanapeleka clinic,acheni ujingakupeba mkoba mnasema je akiwabeba watoto wa zari si mtapasuka?
 
hawa kwa vile wako ng'ambo darling akibeba handbag ya sweetie its ok lakini Africa unakua mtumwa. Uswahili kitu kibaya sana. My hubby always carry my handbag, na sijamfanya mtumwa
Da Asia he feels that it's his obligation au? am just curious! coz am trying to imagine what if he doesn't one day, how do you feel?
Yes, it's not our culture ndo maana najaribu kuwaza hivyo
 
Last edited by a moderator:
Vigazeti pendwa vya uganda vilikua having news kibisaa za kusisimua.sass naona kaka chibu na bossy lady kwenye project yao kawaibua.angalau wanaanza kupata cha kuandika. wanazidi kupaa.soon tutegee mashow ya kufa MTU kwa kijana wetu ug..big up chibu.chapa isimame adi lyamba
 
This means business home boy........salute to yah! keep on shinning
 
Mie nambebea mpenzi wangu mkoba mara nyingi tukiwa out. Naye hunibebea laptop mara zote. Ni mahaba. Kama nyie waandishi uchwara hamjui raha ya mahaba Kako.Jo.Eni mlale
 
 
hawa kwa vile wako ng'ambo darling akibeba handbag ya sweetie its ok lakini Africa unakua mtumwa. Uswahili kitu kibaya sana. My hubby always carry my handbag, na sijamfanya mtumwa

Uswahili sio ishara ya tabia mbovu...ungesema ushamba ungeeleweka maana ushamba hauna kwao...
 
Kumbe kuli si msukuma mikokoteni tu, hata mbeba pochi/mikoba ya kike pia anahesabika ni kuli. Pouuwa sana, ila dogo kazi anayo!
 
wow......hilo guu la zari si mchezo.....

wamependeza......mengine watajuana wenyewe......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…