TK movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi.
Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa wakipotosha malengo ya vuguvugu hilo huku baadhi yao wakidai Tk movement inaingilia shabaha za Umoja wa Vijana wa CCM.
Binafsi limelelewa ndani ya CCM na ninatambua kuwa kama Kada wa CCM majukumu yangu ni pamoja na kukijenga, kukilinda kukipigania na kukisemea Chama hivyo najua kabisa kuwa uwepo wa makundi kama haya ni muhimu.
Isitoshe Tk movement inalenga kuwaunganisha vijana wa Kitanzania regardless of their political affiliations.
Lakini hata ndani ya CCM yenyewe kumekuwepo na vuguvugu kama hizo na huwa zinaanzishwa kwa nia njema kabisa hivyo madai kuwa Tk movement wanalenga kujihusisha na mchakato wa kusaka urais 2030 ni upotoshaji.
Mwaka 2015 Lilianzishwa kikosi kazi kilichoitwa " Makapteni wa Magufuli"hivi waanzishaji wa kikosi kazi hicho hawakujua kuwa kuna jumuiya ya vijana ya CCM?
Au tatizo la Tk movement ni kufanya harakati za wazi?hivi siku hizi uwazi ni dhambi?
Tk Movement wana nia njema,hawana nia ovu ya kuvuruga CCM na hata kama wana lengo lingine la kukisaidia Chama Cha Mapinduzi na Rais Dr SSH kwenye uchaguzi mkuu ujao siyo dhambi kwani kama wana CCM wataona umuhimu wa kuunda timu ya nje ili ya Chama ili kuwafikia Watanzania walio wengi ni jambo la kujivunia.