TK Movement kosa lao nini?

TK Movement kosa lao nini?

Tao

Senior Member
Joined
Nov 10, 2018
Posts
105
Reaction score
195
TK movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi.

Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa wakipotosha malengo ya vuguvugu hilo huku baadhi yao wakidai Tk movement inaingilia shabaha za Umoja wa Vijana wa CCM.

Binafsi limelelewa ndani ya CCM na ninatambua kuwa kama Kada wa CCM majukumu yangu ni pamoja na kukijenga, kukilinda kukipigania na kukisemea Chama hivyo najua kabisa kuwa uwepo wa makundi kama haya ni muhimu.

Isitoshe Tk movement inalenga kuwaunganisha vijana wa Kitanzania regardless of their political affiliations.

Lakini hata ndani ya CCM yenyewe kumekuwepo na vuguvugu kama hizo na huwa zinaanzishwa kwa nia njema kabisa hivyo madai kuwa Tk movement wanalenga kujihusisha na mchakato wa kusaka urais 2030 ni upotoshaji.

Mwaka 2015 Lilianzishwa kikosi kazi kilichoitwa " Makapteni wa Magufuli"hivi waanzishaji wa kikosi kazi hicho hawakujua kuwa kuna jumuiya ya vijana ya CCM?

Au tatizo la Tk movement ni kufanya harakati za wazi?hivi siku hizi uwazi ni dhambi?

Tk Movement wana nia njema,hawana nia ovu ya kuvuruga CCM na hata kama wana lengo lingine la kukisaidia Chama Cha Mapinduzi na Rais Dr SSH kwenye uchaguzi mkuu ujao siyo dhambi kwani kama wana CCM wataona umuhimu wa kuunda timu ya nje ili ya Chama ili kuwafikia Watanzania walio wengi ni jambo la kujivunia.
 
Wanataka mapinduzi ya nini? Ndio hicho kinaongozwa na Bashe? Mh. Rais fukuza hilo Msomali hawajazoea amani. Hayo mapumbavu yashughulikiwe na yamalizwe hata kwa kuyaua. Amani ya nchi yetu haina compromise na kikundi au mtu yeyote
 
Mbona umeandika kwa hamaki sana na chuki?Wewe ndiye unapaswa uvuliwe nguo zote na utandikwe viboko vingi sana na hovyohovyo mwili mzima.
 
Sasa mnaanzisha taasisi ndani ya taasisi?
Ahsante, we ni hazina. Hizo taka×2 zimalizwe ht kwa kuyaua maana yatakuja kutuangamiza. Swali kabla hujaswaliwa kuna UV-CCM, eti bd kuna kikundi kinajiunda humo ndani. Hayo malengo yao hawawezi kuyatimiza wakiwa ndani ya UV-CCM? Mh. Rais na m/kiti kuna mijitu imevimbiwa yaondoe humo ndani. Baadhi ni Januari Makamba, Mwigulu Nchemba, Hussein Bashe, Paul Makonda, waziri mkuu wako haeleweki. Mh. Rais mzee Ally Hassan Mwinyi alivunja serikali yake mara 2 wakiwepo watu waliojiamini sana Augustine Lyatonga Mrema akiwa naibu waziri mkuu. Alimfukuza aliyekuwa makamu wake wa kwanza wa Rais na waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Warioba alikuwa na nguvu na ushawishi kuliko Majaliwa. Usiangalie dini ya mtu vyombo vyako vifanye kazi vunja serikali anza upya ukizingatia hiyo ilikuwa serikali ya mtu mwingine. Vaa ujasiri we ndio Amiri jeshi mkuu wetu.
 
Back
Top Bottom