Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,501
What a pathetic thread! You ruined everybody's morning dude!JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,
Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
Mpuuzi mmoja!JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,
Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
Hicho kiingereza ndio kimeleta std geji? stigilaj goji etc?JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,
Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
Chaajabu kampeni watazifanya kwa kiswahili.Chadema mna ujinga wapiga kura waswahili halafu wagombea muongee kingereza!!!!!
Mahouse girl wa Malawi msasani wanaongea kingereza kizuri kuliko Cha Tundu Lisu na hawajui kusoma Wala kuandikaMpuuzi mmoja!
Nani kasema kuongea kiingereza ndio kuwa na knowledge kubwa
Aibu kubwa mtoa mada alitarajiwa kuungwa mkono upuz wake naona haamini anachokionaWhat a pathetic thread! You ruined everybody's morning dude!