TL na JP Tutawafanyia Mdahalo kwa lugha yakingereza ili kupata kufahamu uwezo wenu

Lissu yuko tayari tangujuzi kaweka wazi ngoja tumbembeleze ngombea wa ccm akikubari mdahalo nampigia kura yangu
 
Namkaribirisha Rais Magufuli Tutakapopitishwa kuwa Wagombea 26/08; Namkaribisha Tufanye Mjadala wa Hadhara, Utakaorushwa Kwenye TV Kati Yake na Mimi Mgombea Urais wa CHADEMA Na Wagombea Wengine Tuzungumze Habari za Tanzania, Kwa Lugha Yeyote Atakayoichagua.
#Niyeye2020
 
JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,

Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
Uanze kumfanyia mdahalo kwa kingereza baba yako ufahamu kama kweli alistahili kuwa mzazi wako!
 
unaogopa mdahalo sababu babako kazoea kuchaaza kisukuma sana etiee 🙄 😛 🙄
 
Namkaribirisha Rais Magufuli Tutakapopitishwa kuwa Wagombea 26/08; Namkaribisha Tufanye Mjadala wa Hadhara, Utakaorushwa Kwenye TV Kati Yake na Mimi Mgombea Urais wa CHADEMA Na Wagombea Wengine Tuzungumze Habari za Tanzania, Kwa Lugha Yeyote Atakayoichagua.
#Niyeye2020
 
JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,

Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
Ze, ze mafuta ya korosho in ze kutu- JPM
 
JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,

Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
Napendekeza mdahalo uwe kwa kiswahili. Swali fikirikishi ni chombo gani kitarusha na kwa sheria ipi maana kwasasa nasikia kuna sheria mpya ya maudhui naomba ufafanuzi kwenye hili
 
Midahalo ihusu kwanza ndani ya vyama vyao wamefanya nini.Kabla kutushawishi tuwape taifa la Tanzania kuliongoza.
acha uoga binti

UPOOOOOOOOO.. UMEJIONAAA!! HAHAHAHAHAAAAAA!!!!
 
JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,

Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
Aibu yako ndugu kwani ufahama unapimwa kwa kujuia kizungu duuuu
 
Huyu baba wa watu inabid ahojiwe kwa kingereza wakalimali si wapo shida nn sasa
 
Huo mdahalo ufanyike kwa kishwahili tu,sio lazima kiingereza.
1) Ni Ngumu Sana kufanya mazungumzo ya kistaarabu na MTU ambaye yeye kutwa anazunguka mitaani anakutukana na kukupatia tuhuma lukuki huku akipaza sauti.
2) Historia,maoni,hulka na style zao wote ziko wazi Kwa wapiga Kura na kuwakutanisha meza moja warushiane maneno sidhani kama itawasaidia Sana wapiga Kura zaidi ya kushuhudia marumbano binafsi?!
 
Hata Kiswahili mtihani sembuse Kiingereza!
Miaka zaidi ya 17 uko darasani ukifundishwa, kusoma na kujibu kwa Kiingereza halafu leo huwezi Kiingereza.
Unajitetea mbona Wachina hawawezi Kiingereza na wengine ni Wahandisi wazuri wa Madaraja na malengo.
Huyo Mchina amesoma kwa lugha gani?
Sema tu kuongoza Afrika ni simple, hakuhitaji kuwa na akili nyingi
Kuweza kumudu kuongea lugha ni tofauti na kutumia lugha hiyo masomoni na ndiyo maana pamoja na mtu kushindwa kuongea vizuri hicho kiingereza ila unakuta masomoni kabukua vizuri.
 
Back
Top Bottom