TL na JP Tutawafanyia Mdahalo kwa lugha yakingereza ili kupata kufahamu uwezo wenu

TL na JP Tutawafanyia Mdahalo kwa lugha yakingereza ili kupata kufahamu uwezo wenu

Cdm nao tutawafanyia kwa lugha ya kichaga. Tupate uzoefu wa kuwapata wabunge viti maalumu.
 
Aibu kubwa mtoa mada alitarajiwa kuungwa mkono upuz wake naona haamini anachokiona
Mi nilidhani huu upuuzi kuwa ukijua kizungu basi una akili/ maarifa mengi ulishatokomezwa..kumbe kuna watu wazima bado wanaamini hivyo.
 
nowadays kujua kiingereza unaonekan smart kichwani!...🙄🚶🚶🚶
 
JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,

Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
We jamaa masaburi sana, sasa English inahusiana vipi na uwezo wa kuongoza nchi?
Mnaabudu English mpaka mnafikiria kwa kutumia masaburi
 
Kenya hata wauza pipi na waendesha mikokoteni wanaongea fluent English kwahyo na wao wana sifa zakuwa wagombea?English sio kipimo cha akili..MKUU..
 
Hapo Mwenyekiti wangu Magufuli lazma akatae huo mdahalo. Ndio maana kimataifa tumefeli awamu hii.
 
Mtoa mada kiingereza si issue.Isitoshe acha kujivunia na lugha za kigeni.Huo ni utumwa.Jali na kipende Kiswahili.
 
Hapo Mwenyekiti wangu Magufuli lazma akatae huo mdahalo. Ndio maana kimataifa tumefeli awamu hii.
CCM hatuhitaji midahalo .Tunachapa kazi ,kazi ndio inaamua tupewe uraisi au tusipewe sio midahalo.nyie msio na cha kuonyesha kwa wananchi hamna hata jengo lenu la makao makuu ndio mnategemea kuchonga tu mdomo kwenye midahalo because you have nothing to show
 
hatuhitaji mjuzi wa kingereza watanzania tunahitaji maendeleo kama tunavyo yaona yanafanywa na Rais wetu JPM, wewe nenda kajiendeleze na kingeteza chako
 
JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,

Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
Utasikia lile jamaa linasema "sijui ingrishi..."

Lile jitu bwana!
 
Mahouse girl wa Malawi msasani wanaongea kingereza kizuri kuliko Cha Tundu Lisu na hawajui kusoma Wala kuandika
"Mahouse girl hawajui kusoma wala kuandika ila wanaongea kingereza kizuri " Vipi kwa waliosoma mpaka PhD kwa kingereza na kingereza hawakijui? Huoni tatizo hapo?

Hapa umemdhalilisha 'mtukufu wenu '
 
Msitake kuaharibu mjadala kabla haujaanza.

Tutamia lugha ya taifa kiswahili kila mwananchi ajionee
 
CCM hatuhitaji midahalo .Tunachapa kazi ,kazi ndio inaamua tupewe uraisi au tusipewe sio midahalo.nyie msio na cha kuonyesha kwa wananchi hamna hata jengo lenu la makao makuu ndio mnategemea kuchonga tu mdomo kwenye midahalo because you have nothing to show
Mpewe wangapi???? Anaepewa ni Magufuli.... We kaa kwa kutulia
 
Back
Top Bottom