Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema mna ujinga wapiga kura waswahili halafu wagombea muongee kingereza!!!!!
Mnajifanya kama vile hamjamsoma mleta uzi?Ivi kumbe bado kuna watu wanafkiria kuongeaa kiingereza ndo kuwa na akili
JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,
Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
Uanze kumfanyia mdahalo kwa kingereza baba yako ufahamu kama kweli alistahili kuwa mzazi wako!JP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,
Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
Chadema mna ujinga wapiga kura waswahili halafu wagombea muongee kingereza!!!!!
unaogopa mdahalo sababu babako kazoea kuchaaza kisukuma sana etiee 🙄 😛 🙄✌Uanze kumfanyia mdahalo kwa kingereza baba yako ufahamu kama kweli alistahili kuwa mzazi wako!
hebu tazama hii kitu hapo akili zikurudie sawasawaAibu kubwa mtoa mada alitarajiwa kuungwa mkono upuz wake naona haamini anachokiona
Ze, ze mafuta ya korosho in ze kutu- JPMJP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,
Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
Napendekeza mdahalo uwe kwa kiswahili. Swali fikirikishi ni chombo gani kitarusha na kwa sheria ipi maana kwasasa nasikia kuna sheria mpya ya maudhui naomba ufafanuzi kwenye hiliJP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,
Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
acha uoga bintiMidahalo ihusu kwanza ndani ya vyama vyao wamefanya nini.Kabla kutushawishi tuwape taifa la Tanzania kuliongoza.
Aibu yako ndugu kwani ufahama unapimwa kwa kujuia kizungu duuuuJP na Tl , Tuwafanyia mdahalo ili kuweza kupata , lengo na dhumuni lakuitaka nafasi hii nyeti ya JMT ,
Nb mdahalo utaongozwa kwa lugha ya Kingereza tupu.
1) Ni Ngumu Sana kufanya mazungumzo ya kistaarabu na MTU ambaye yeye kutwa anazunguka mitaani anakutukana na kukupatia tuhuma lukuki huku akipaza sauti.Huo mdahalo ufanyike kwa kishwahili tu,sio lazima kiingereza.
Kuweza kumudu kuongea lugha ni tofauti na kutumia lugha hiyo masomoni na ndiyo maana pamoja na mtu kushindwa kuongea vizuri hicho kiingereza ila unakuta masomoni kabukua vizuri.Hata Kiswahili mtihani sembuse Kiingereza!
Miaka zaidi ya 17 uko darasani ukifundishwa, kusoma na kujibu kwa Kiingereza halafu leo huwezi Kiingereza.
Unajitetea mbona Wachina hawawezi Kiingereza na wengine ni Wahandisi wazuri wa Madaraja na malengo.
Huyo Mchina amesoma kwa lugha gani?
Sema tu kuongoza Afrika ni simple, hakuhitaji kuwa na akili nyingi
Wasikilizaji ni wakenya.Na wasikilizaji je, watakuwa Waingereza pia? Isitoshe wewe mwenyewe na Babako hamjui hicho Kiingereza sasa itakuwaje?
Low IQ!
Namkaribirisha Rais Magufuli Tutakapopitishwa kuwa Wagombea 26/08; Namkaribisha Tufanye Mjadala wa Hadhara, Utakaorushwa Kwenye TV Kati Yake na Mimi Mgombea Urais wa CHADEMA Na Wagombea Wengine Tuzungumze Habari za Tanzania, Kwa Lugha Yeyote Atakayoichagua.
#Niyeye2020
Kwani wewe na mumeo ni viziwi kusema msisikie kitachooongelewa? sema hutamuelewa anaongea niniWasikilizaji ni wakenya.