TLP Tanzania: Tunaungana na Watanzania kumpongeza Rais Samia kwa kununua Pamba "Cash" na kuongeza bei kwa 125% FY2021/22

Anayempinga Samia anatatizo binafsi,

Kilimo kinategemewa na watu zaidi ya 85%

Wakulima wako zaidi ya 65%

Ukikipa nguvu kilimo maana yake unawapa nguvu watu zaidi ya 90% wanaoishi Tanzania,




Huyu mama ni habari nyingine,

Hafokei wala hanyanyasi wananchi wake,
 
Tukiacha Roho mbaya Samia ni Rais wa mfano Africa,

Haya matuc anayotukanwa angekuwa Hayati hii nchi watu kibao wangeshapotea,
 
Mama anastahili pongezi kwa kasi hii wakulima watanufaika sana, hapa kaucheza mwingi sana na sifa zake apewe.
 
Watanzania wengi ni vichwa boga. Current issues zote bado zinatokana na impact ya miaka kadhaa nyuma period . Tangu mwaka juzi waziri mkuu anafanyia KAZI suala la pamba
 
Njaa mbaya sana,mnajitahidi sana kuimba nyimbo na kuabudu na kusifu lakini ukweli mnao,teuzi zilishaisha huyu mwanamke alistahili kuwa mjumbe wa nyumba 10 na si pale alipo kwa sasa!
 
SikuRais Samia anaingia usukumani sipati picha mapokezi yake,

Wamefurahi mno kwa inshu hii ya pamba,
 
UPUUZI MTUPU!
 
Tazama Lofa na Pumbafu - TLP ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…