TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kupaisha bei ya mbaazi kwa 3200%. Hongera sana tuko nyuma yako

Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2020
Posts
1,070
Reaction score
568
NAPE NA NDUGU ZAKO MSIACHE KUMSHUKURU MUNGU KWAAJILI YA MAMA SAMIA | MBAAZI IMEPAA TOKA TZS 50 FY2017|2020-TZS 1,600 FY2021|22 KWA KILO

Bei ya mbaazi Tanzania chini ya Rais Samia imeongezeka karibu ( X3200 ) kutoka Shilingi Hamsini za Kitanzania hadi kufikia Tshs 1,600 mwaka huu,Mtakumbuka ni trh 19|3|2021 ndio siku ambayo Mama Samia alikabidhiwa nchi hii kama Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT wa awamu 6,huku bei ya mbaazi ikiwa ni chini ya Tshs 200|50.Kwalugha rahisi Fuso la Tani 7 lilijazwa mbaazi za watoto wa masikini kwa Tshs 350k Tu,Leo baada ya Rais Samia Fuso hilohilo linajazwa Mbaazi hizohizo kwa Tshs 11.2M,Mama Samia ameiongeza bei hii kwa zaidi ya 3,200%,Ukifungua hizo link utawasikia wakulima hao wakilalama,Mbaazi kutoka kuwa zao la Kibiashara hadi kuwa Chakula cha Ng'ombe na Nguruwe huku baadhi yao wakizisusa mbaazi hizo Shambani bila ya kuzivuna,Inaumiza.

Nape Nauye|Zitto Kawe kwenye bunge la 10 ndio vijana miongoni Mwawabunge wachache waliopaza sauti zao juu ya mporomoko mkali wa bei ya mbaazi Tanzania,Wakati flani Nape akishauriwa na Naibu Waziri wa kilimo wa wakati huo kama soko hakuna ni bora kuwahimiza Wapigakura wake Wale Mbaazi kwa wingi kwakuwa mbaazi zina Protini nyingi, majibu yaliyoonesha kama ni kejeli mbele ya Mhe Nape Mbunge wa Mtama na kwawalima mbaazi wote nchini,Ujio wa Rais Samia umeshusha neema|faraja tena na tena kwa wakulima|Wasambazaji na Wauzaji wa Mbaazi wa nje na ndani ya Tanzania,Kwenye hili Rais Samia anastahili pongezi toka kwa Watanzania wote na hasahasa Wale walioambiwa Wale mbaazi ili wanenepe badala ya kupata Pesa ambayo leo Wanaifurahia,

Mtakumbuka,Mwaka wa fedha 2015/16 bei ya Tani ya Mbaazi ilikuwa US$ 715.11,Tanzania tulijipatia kiasi cha US$ 113,760 ikiwa ni sawa fedha ya kuuza Mbaazi nje jumla ya Tani 160 tu ,Dollar hizi ni sawa na Tshs 264M,Gafla Mauzo hayo yaliporomoka mpaka kufikia US$ 5,112 sawa na Tshs 11.3M Tu,FY2018|19|20 ambazo ni sawa na mauzo ya Tani 5 tu za Mbaazi,Mapato haya ni sawa na anguko la 95.7% nadhani hii haijawahi kutokea popote pale dunia wakati huu bei ikiwa ni US$ 0.023 kutoka US$ 1.14 FY 2015|16|17.Bila shaka haya ndio yaliwaliza wakati wote akina Nape pale Bungeni kwenye bunge la 10.Leo Mama amepandisha bei ya Mbaazi mpaka kufikia US$ 0.73 kutoka US$ 0.023 ikiwa ni sawa Tshs 1,600 kutoka Tshs 50/Lakini pia Kahawa imepaa kutoka 1,000 ya mkopo hadi kufikia Tshs 1,500/= Cash, Mwenye Masikio na asikie sasa,

...Kazi iendelee...
 
Barua ya Wazi kwa Mama Samia,

Dear Mama,

Shikamoo,

Baada ya salamu hizi naomba nikupongeze kwa kazi kubwa unayoifanya,

Dhumuni la Barua yangu nikukuuliza maswali yafuatayo:

1. Hivi Mama! umewezaje kufikisha bei ya Mbaazi Tshs 1,600 toka Tshs 50/=?

2. Hivi mama umewezaje kuifikisha pamba Tsh 1,800/= toka Tshs 810/= mwaka jana?

3. Hivi umewezaje kufikisha alizeti Tshs 12,000/= toka 5,000/= mwaka Jana?

4. Hivi umewezaje kufikisha Kawaha Tshs 1,550/= toka Tsh 1,000/= mwaka Jana,

5. Hivi umewezaje kufikisha choroko juu huko?

Mwisho, Naomba nikuahidi kura yangu mwaka 2025.

Asante,
 
Barua ya Wazi kwa Mama Samia,

Dear Mama,

Shikamoo,....
Unamuuliza mama wakati yeye mwenyewe anashangaa imepandaje.

Kukusaidi tu dunia ilikuwa imejifungia sababu ya Corona,biashara nyingi zilisitishwa Sasa wameona heri maisha yaendelee.
Sasa wanazifakamia bidhaa kama mtu mwenye njaa.
Kuumbuka mama kwenye issue ya mbole kupanda jibu alilotoa.
 
Mimi kama Mimi Mwanakulitafuta,
Naahidi mbele za Mungu wangu 2025 huyu mama nitamchagua,

Ndani ya muda mfupi mambo yamebadilika sana, Uchumi uko kasi mno,

Sisi hili kikabila tunasema "Mama anakichwa kizuri " kila alofanya linatiki,

Huyu mama hakuna kukwama ,

Samia huyo Mungu uliyenaye Mshike sana kwani anatenda kwa speed,

We love you Samia,
 
Unamuuliza mama wakati yeye mwenyewe anashangaa imepandaje.

Kukusaidi tu dunia ilikuwa imejifungia sababu ya Corona,biashara nyingi zilisitishwa Sasa wameona heri maisha yaendelee.
Sasa wanazifakamia bidhaa kama mtu mwenye njaa.
Kuumbuka mama kwenye issue ya mbole kupanda jibu alilotoa.

Unamaanisha dunia ilivyosikia Samia Rais ndio ikaanza kufakamia viti?

Acha uhayawani huyu mama ni habari nyingine,
 
TLP Taifa - Kazi kweli kweli. Yaani TLP mnampa pongezi kwa bei ya mbaazi kupanda? Haya matozo, kodi, kubambikiwa makosa, wizi wa kura... hamyaoni kabisa? Yaani kumbe binadam mnaweza kufugwa na kutumika kama aina fulani ya wanyama? That is too low!
 
Unamuuliza mama wakati yeye mwenyewe anashangaa imepandaje.

Kukusaidi tu dunia ilikuwa imejifungia sababu ya Corona,biashara nyingi zilisitishwa Sasa wameona heri maisha yaendelee.
Sasa wanazifakamia bidhaa kama mtu mwenye njaa.
Kuumbuka mama kwenye issue ya mbole kupanda jibu alilotoa.
Hiyo chuki yako kwa Samia utakufanayo,Bado yupo Sana hadi 2030
 
NAPE NA NDUGU ZAKO MSIACHE KUMSHUKURU MUNGU KWAAJILI YA MAMA SAMIA | MBAAZI IMEPAA TOKA TZS 50 FY2017|2020-TZS 1,600 FY2021|22 KWA KILO,

____________________________

Bei ya mbaazi Tanzania chini ya Rais Samia imeongezeka karibu ( X3200 ) kutoka Shilingi Hamsini za Kitanzania hadi kufikia Tshs 1,600 mwaka huu,Mtakumbuka ni trh 19|3|2021 ndio siku ambayo Mama Samia alikabidhiwa nchi hii kama Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT wa awamu 6,huku bei ya mbaazi ikiwa ni chini ya Tshs 200|50.Kwalugha rahisi Fuso la Tani 7 lilijazwa mbaazi za watoto wa masikini kwa Tshs 350k Tu,Leo baada ya Rais Samia Fuso hilohilo linajazwa Mbaazi hizohizo kwa Tshs 11.2M,Mama Samia ameiongeza bei hii kwa zaidi ya 3,200%,Ukifungua hizo link utawasikia wakulima hao wakilalama,Mbaazi kutoka kuwa zao la Kibiashara hadi kuwa Chakula cha Ng'ombe na Nguruwe huku baadhi yao wakizisusa mbaazi hizo Shambani bila ya kuzivuna,Inaumiza,

Nape Nauye|Zitto Kawe kwenye bunge la 10 ndio vijana miongoni Mwawabunge wachache waliopaza sauti zao juu ya mporomoko mkali wa bei ya mbaazi Tanzania,Wakati flani Nape akishauriwa na Naibu Waziri wa kilimo wa wakati huo kama soko hakuna ni bora kuwahimiza Wapigakura wake Wale Mbaazi kwa wingi kwakuwa mbaazi zina Protini nyingi, majibu yaliyoonesha kama ni kejeli mbele ya Mhe Nape Mbunge wa Mtama na kwawalima mbaazi wote nchini,Ujio wa Rais Samia umeshusha neema|faraja tena na tena kwa wakulima|Wasambazaji na Wauzaji wa Mbaazi wa nje na ndani ya Tanzania,Kwenye hili Rais Samia anastahili pongezi toka kwa Watanzania wote na hasahasa Wale walioambiwa Wale mbaazi ili wanenepe badala ya kupata Pesa ambayo leo Wanaifurahia,

Mtakumbuka,Mwaka wa fedha 2015/16 bei ya Tani ya Mbaazi ilikuwa US$ 715.11,Tanzania tulijipatia kiasi cha US$ 113,760 ikiwa ni sawa fedha ya kuuza Mbaazi nje jumla ya Tani 160 tu ,Dollar hizi ni sawa na Tshs 264M,Gafla Mauzo hayo yaliporomoka mpaka kufikia US$ 5,112 sawa na Tshs 11.3M Tu,FY2018|19|20 ambazo ni sawa na mauzo ya Tani 5 tu za Mbaazi,Mapato haya ni sawa na anguko la 95.7% nadhani hii haijawahi kutokea popote pale dunia wakati huu bei ikiwa ni US$ 0.023 kutoka US$ 1.14 FY 2015|16|17.Bila shaka haya ndio yaliwaliza wakati wote akina Nape pale Bungeni kwenye bunge la 10.Leo Mama amepandisha bei ya Mbaazi mpaka kufikia US$ 0.73 kutoka US$ 0.023 ikiwa ni sawa Tshs 1,600 kutoka Tshs 50/Lakini pia Kahawa imepaa kutoka 1,000 ya mkopo hadi kufikia Tshs 1,500/= Cash, Mwenye Masikio na asikie sasa,

...Kazi iendelee...
Habari zuri sana,asante sana kwa kutufahamisha.Ubarikiwe sana.
 
Barua ya Wazi kwa Mama Samia,

Dear Mama,

Shikamoo,

Baada ya salamu hizi naomba nikupongeze kwa kazi kubwa unayoifanya,

Dhumuni la Barua yangu nikukuuliza maswali yafuatayo:

1. Hivi Mama! umewezaje kufikisha bei ya Mbaazi Tshs 1,600 toka Tshs 50/=?

2. Hivi mama umewezaje kuifikisha pamba Tsh 1,800/= toka Tshs 810/= mwaka jana?

3. Hivi umewezaje kufikisha alizeti Tshs 12,000/= toka 5,000/= mwaka Jana?

4. Hivi umewezaje kufikisha Kawaha Tshs 1,550/= toka Tsh 1,000/= mwaka Jana,

5. Hivi umewezaje kufikisha choroko juu huko?

Mwisho, Naomba nikuahidi kura yangu mwaka 2025.

Asante,
Asante sana kwa kutufahamisha,haya ndio maendeleo.Ubarikiwe sana.
 
Stupid, katika shida za watanzania zinazosababishwa na Samia mmeona ni mbaazi tu! Rubbish!

Nilikuwa natafuta ktk bandiko la jamaa kuona ni nini hasa SSH alifanya ambacho kimeongeza soko hilo. Inaonekana jamaa kama vile anashangilia kuwepo kwa SSH bila kusema kwa mfano ametafuta soko, amerejesha mawakala, au kaondoa vipingamizi nk.

Ninadhani mleta mada ana mahaba! Labda ni mdau wa mbaazi. Angenitupa mrejesho kuhusu pamba, korosho, mwani, kahawa nk ili tuone alichofanya pia.
 
NAPE NA NDUGU ZAKO MSIACHE KUMSHUKURU MUNGU KWAAJILI YA MAMA SAMIA | MBAAZI IMEPAA TOKA TZS 50 FY2017|2020-TZS 1,600 FY2021|22 KWA KILO,

____________________________

Bei ya mbaazi Tanzania chini ya Rais Samia imeongezeka karibu ( X3200 ) kutoka Shilingi Hamsini za Kitanzania hadi kufikia Tshs 1,600 mwaka huu,Mtakumbuka ni trh 19|3|2021 ndio siku ambayo Mama Samia alikabidhiwa nchi hii kama Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT wa awamu 6,huku bei ya mbaazi ikiwa ni chini ya Tshs 200|50.Kwalugha rahisi Fuso la Tani 7 lilijazwa mbaazi za watoto wa masikini kwa Tshs 350k Tu,Leo baada ya Rais Samia Fuso hilohilo linajazwa Mbaazi hizohizo kwa Tshs 11.2M,Mama Samia ameiongeza bei hii kwa zaidi ya 3,200%,Ukifungua hizo link utawasikia wakulima hao wakilalama,Mbaazi kutoka kuwa zao la Kibiashara hadi kuwa Chakula cha Ng'ombe na Nguruwe huku baadhi yao wakizisusa mbaazi hizo Shambani bila ya kuzivuna,Inaumiza,

Nape Nauye|Zitto Kawe kwenye bunge la 10 ndio vijana miongoni Mwawabunge wachache waliopaza sauti zao juu ya mporomoko mkali wa bei ya mbaazi Tanzania,Wakati flani Nape akishauriwa na Naibu Waziri wa kilimo wa wakati huo kama soko hakuna ni bora kuwahimiza Wapigakura wake Wale Mbaazi kwa wingi kwakuwa mbaazi zina Protini nyingi, majibu yaliyoonesha kama ni kejeli mbele ya Mhe Nape Mbunge wa Mtama na kwawalima mbaazi wote nchini,Ujio wa Rais Samia umeshusha neema|faraja tena na tena kwa wakulima|Wasambazaji na Wauzaji wa Mbaazi wa nje na ndani ya Tanzania,Kwenye hili Rais Samia anastahili pongezi toka kwa Watanzania wote na hasahasa Wale walioambiwa Wale mbaazi ili wanenepe badala ya kupata Pesa ambayo leo Wanaifurahia,

Mtakumbuka,Mwaka wa fedha 2015/16 bei ya Tani ya Mbaazi ilikuwa US$ 715.11,Tanzania tulijipatia kiasi cha US$ 113,760 ikiwa ni sawa fedha ya kuuza Mbaazi nje jumla ya Tani 160 tu ,Dollar hizi ni sawa na Tshs 264M,Gafla Mauzo hayo yaliporomoka mpaka kufikia US$ 5,112 sawa na Tshs 11.3M Tu,FY2018|19|20 ambazo ni sawa na mauzo ya Tani 5 tu za Mbaazi,Mapato haya ni sawa na anguko la 95.7% nadhani hii haijawahi kutokea popote pale dunia wakati huu bei ikiwa ni US$ 0.023 kutoka US$ 1.14 FY 2015|16|17.Bila shaka haya ndio yaliwaliza wakati wote akina Nape pale Bungeni kwenye bunge la 10.Leo Mama amepandisha bei ya Mbaazi mpaka kufikia US$ 0.73 kutoka US$ 0.023 ikiwa ni sawa Tshs 1,600 kutoka Tshs 50/Lakini pia Kahawa imepaa kutoka 1,000 ya mkopo hadi kufikia Tshs 1,500/= Cash, Mwenye Masikio na asikie sasa,

...Kazi iendelee...

Mama yetu anapiga kazi sio mchezo hakika Tanzania inasonga mbele.
 
Back
Top Bottom