TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kupaisha bei ya mbaazi kwa 3200%. Hongera sana tuko nyuma yako

TLP wanatafuta uteuzi wa Mwenyekiti wao
 
Mmeanza sasa. Mwishoni mwa mwaka jana mlitwambie atake asitake lazima "shujaa wa Afrika" ataongezewa muda atawale milele. Mungu akasema NO.
Hiyo chuki yako kwa Samia utakufanayo,Bado yupo Sana hadi 2030
 
Umesahau kumwuliza kuhusu viazi mviringo kutoka tsh 45,000/= mpka tsh 12,000/=
 
Mtangazeni kabisa awe mugombea wenu wa urais wa mwaka 2025.
 
Wright,

Sisi huku BUKOBA Kahawa ilikuwa buku tena kwa Mkopo,

Kuna jamaa kaibuka hapa anunua kahawa kwa Tsh 1500 Cash

Bashiru pamoja nakuwa alitoka huku alishindwa kutusaidia hata kwenye Kahawa tu, Leo Mzanzibar amekuja kututetea,

Mimi nitamwombea kila Siku huyu Mama anahuruma sana kwa Wananchi wake,

Kura yangu unayo Samia mwaka 2025
 
Alishasema hana mpango wa kugombea. Wewe ni nani mpaka umlazimishie kura ambayo haitaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…