TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kupaisha bei ya mbaazi kwa 3200%. Hongera sana tuko nyuma yako

Hapa mataga na machadema hutayaona ,๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ila kwenye ujinga na kuombea Taifa na Rais kushindwa ndio kiherehere.Unfortunately Rais anawapuuza.
 
Sio mbaazi tuu hata Ufuta bei imekuwa tamu,pamba na tumbaku halikadharika korosho wakulima wanafurahia maisha hata wakitoa tozo wanaona Kazi imefanyika.
 
Yule Ibilisi ni heri kafa
๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก
 
Wawekezaji wamerudi,muwe mnafuatilia mambo.Miezi 4 ya kwanza ya mama uwekezaji ulifikia zaidi ya dola za Marekani bilioni 1, kiwango hicho kilifikiwa kwa mara ya mwisho 2015/2016.
 
Kwa hoja kama hizi hata mtoto mdogo anatucheka kwa dharau,yaani samia ndiye kaamua bei ya bidhaa fulani iwe kiasi gani? Kama ni hivyo tu si hata magufuli angeamka tu na kuamua kuwa dhahabu iuzwe milioni kumi kwa gramu moja? Demand imekuwa kubwa baada ya lock down duniani huko,kwa hiyo watu wamerufisha mitaji na walaji wamekuwa huru wakati huu,hence mzunguko wa biashara umeimarika tena,samia ni nani dunia hii hadi aamue kupandisha bei ya bidhaa wakati yeye hata si mteja wa bidhaa hiyo? Majinga kabisa
 
Diplomasia usiwe kiazi,huyo mtoto atakucheka Wewe.

Wakati mwendazake anazinguana na Kenya,Rwanda,India nk waliokuwa wanapata hasara ni sisi kwa hiyo tuna kila sababu ya kushangilia.
 
Kwanza wanaolima mbaazi sijui ni kijiwilaya tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
wewe na wenzako wa mwendazake na sukumagang ni wivu tu unawasumbua
Kodoa, Bereko mpaka Babati yote wanalima mbaazi kwa maekari
Nenda Singida, panda mpaka Babati
jamaa yenu kapora Korosho kwenda kujenga Hospital kwao ndio mnataka wa kahawa wasimshukuru?
 
UPUUZI MTUPU!!!
 
wewe ndio mtoto hata shule hujaenda au una mtindio wa ubongo
mwendazake alipopora Korosho kwa kutumia JWTZ uliona sahihi
leo Wafanyabiashara toka Nje wameinunua hata haijachanua
jitu limeweka ukuta Mererani wajanja na askari wamechimba mahandaki wanatorosha
kwa hapo huoni tofauti ya Mama Samia na mdhulumati yule?
kweli kuna majinga yanayoshabikia ukabila na ujinga sijui hata nisemeje kazi kupinga tu
wafanyakazi wamerudishwa makazini sijui akifufuka ..............
 
aisee! ndugu ondoa chuki na wivu moyoni, vitakuweka huru na kukuepusha na uongo. bei ya mbaazi ilishushwa kwa siasa za mwendazake na pm wake, majaliwa kassimu 2017 huko. hivi korona ilishafika kaka mwaka 2017?!!!! duuuu!

hata kama tunachukia, kwa nguvu zote, baadhi ya viongozi kwa sababu zetu za kurithi, kuambiwa (kushawishiwa), kuhisi n.k. bado kutokana na nguvu zao za kikatiba wataendelea tu kufanya mambo mema hata awe na mapungufu kiasi gani. mama samia, pamoja na mapungufu yake (kama binadamu) yapo ambayo ameshayafanya tayari na anaendelea kuyafanya;

1. mbaazi ndo hivyo bei inaongezeka tu
2. sgr ya kisaka-mwanza, twende kazi
3. kusini kuna mpango wa kuijenga reli
4. vituo vipya 90 vya afya njiani kujengwa
5. madaraja wamepanda % kubwa ya watumishi
6. kiwanda cha kukoboa mpunga cha bilioni 3, km sikosei, kinajengwa huko mwanzana kinamalizika hivi punde (october) n.k

chukieni na endeleeni kuomba mabaya tu lakini mdogo mdogo na kimya kimya mama anajivuta.......na ataeleweka tu.
 
PUMBAVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ