TLS - Kongamano la kitaifa kujadili matukio ya utekwaji na upoteaji wa raia nchini Tanzania

Kongamano linaanza saa tisa asubuhi?
 
”Kama nchi, hakuna sheria inayoshughulikia upoteaji na utekwaji wa watu nchini” - Jaji mstaafu Makaramba​
 
“Tatizo kuu ni pamoja na kukataa tatizo lenyewe, serikali inakataa kuwa hakuna tatizo la watu kupotea ama kutekwa”

“Tanzania inatakiwa kuanzisha sheria mahususi kuhisiana na masuala ya upoteaji na utekwaji wa watu na kuhakikisha vitendo hivyo vinafanywa kosa kisheria”.

Jaji mstaafu - Makaramba
 
Hapa ndio penye shida kubwa
 
Mimi sijaelewa
Wanatengeneza mkakati au wanafundishana kwa slides?
Ni muhimu kufundishana ili kuona ni kwa namna gani vitendo hivi ni kinyume na sheria kabla ya kuingia kwenye mkakati wa namna ya kudeal navyo.​
 
“Mtu anapopotea na kutojulikana ni wapi alipo, jukumu hilo linaamia kwa serikali kufanya uchunguzi”

Watu wote waliopotezwa pamoja na familia zao zinatakiwa kufidiwa pale ambapo muhanga anapo potezwa”

Dr.Nshalla,Esq
 
Yakiitishwa maandamano hujitokezi unamwachia Mwenyekiti wa Maisha Mbowe na mtoto wake ila vitu lainilaini kama hili Kongamano uko mstari wa mbele. Bibi Erythrocyte uwe unajitokeza hata kwenye maandamano anayoitisha Mwenyekiti wa Maisha Mbowe!
Off point..!!!
Hayakuhusu endelea na issue za uchawi.
Ok karibu nikupe tiba
 
Yakiitishwa maandamano hujitokezi unamwachia Mwenyekiti wa Maisha Mbowe na mtoto wake ila vitu lainilaini kama hili Kongamano uko mstari wa mbele. Bibi Erythrocyte uwe unajitokeza hata kwenye maandamano anayoitisha Mwenyekiti wa Maisha Mbowe!
Off point..!!!
Patachimbika ,Ponda ndani ,mwamakula ndani ,pambalu ndani,muliro ndani.
Ngoma inogile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…