Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Vipi bado upo na TLS au kwa mama?TLS kwa mara ya kwanza nimeona mmetekeleza wajibu wenu wa kisheria kwenye nchi hii. Mawaziri wote ikiwemo waziri Mkuu inabidi waambiwe, na wasiendelee kutokea kwenye nafasi zao kwani kwa sasa hakuna baraza la mawaziri.
Nimemuona Majaliwa akiendelea kutambulishwa kama waziri Mkuu, wakati kikatiba hana uhalali huo. Tungekuwa na vyombo vya habari vinavyotekeleza wajibu wao walipaswa kulitangaza hili wazi wazi kuwa kwa sasa hakuna baraza la mawaziri, na waziri yoyote aliyekuwa kwenye baraza lililopita asiendelee kuingia ofisini au kutumia mali za ofisi kama gari nk, wakati hana uhalali huo.
Hajafuata, haya Sasa tuone huko kuparanganaAkikosea tu kufuata muongozo huo, ndio kitakuwa chanzo cha kuparangana kwa serikali yake... na mwanzo wa watendaji wake kutokuwa na nguzu za kisheria kufanya kazi zao... na hata wakitoa maamuzi, hayo maamuzi yatakuwa ni null and void ab nitio.
Ushauri wa bure, Mheshimiwa SS usome na uufanyie kazi.
Leo wote wanajadili uteuzi hakuna aliyekumbuka Kama walikuwa wanasema livunjwe. Bavicha sijui Wana nini?Kile kilikuwa kikao cha washauri siyo baraza la mawaziri, kule ndani nilimuona Dr. Abbas, Dotto na wengine
Umejuaje Sasa halijavunjwa, hebu Leta hizo sheriaNikweli kwa mujibu wa sheria kiapo hakiamishiki kutoka kwa MAGU kwenda kwa SAMIHA
Bado TLS wapo sahihi?Waziri mkuu ni jambo jingine. Katiba ikon clear kabisa kuwa waziri mkuu akiondoka/akiondolewa na baraza linavunjika. Hili la rais halina kifungu kama cha waziri mkuu. Ila nadhani ufafanuzi wa TLS uko sahihi.
Vipi hao wabobezi walikuwa sahihi?kajifunze kutafsiri sheria, acha kubwabwaja na kubishana na wabobezi!
Ndiyo. Ila watu wenye upeo mdogo wanaweza kusema mbona hakuvunja baraza hivyo yuko sahihi! Kwa wenye upeo mdogo lakini!Bado TLS wapo sahihi?
Vipi limekufa automatikali?Mimi japo si mwanasheria nalijua hili anapokuja raisi mpya baraza la mawaziri lililopita linakufa automatikali
Mama atakanyaga katibaNgoja niisome taratibu!
Nilichoelewa ni kwamba hadi sasa hatuna baraza la mawaziri kwa sababu hawa akina Mwigullu Nchemba waliapishwa na Rais Magufuli ambaye ni marehemu kwa sasa!
Vipi leo umepata jibu au bado?Uchambuzi makini sana lakini angeongea TL angeambiwa anatumiwa na mabeberu.
Leo umepata jibu wazee wa mihemkoRais anateua Mawaziri ili wamsaidie. Kama Rais aliyewateua hayupo ina maana nao hawana mtu wa kumsadia unless huyo aljaye awahitaji na awateue rasmi.
Vipi leo jibu umepata au bado? Wazee wa mihemkoBaraza la mawaziri halivunjwi uwanjani Bali kikaoni Kama ilivyo bunge huvunjwa mjengoni
Naamini alivunja leo
Vipieo jibu umepata? Mliingizwa Chaka na TLSMama atakanyaga katiba
Mbona hueleweki?Ndiyo. Ila watu wenye upeo mdogo wanaweza kusema mbona hakuvunja baraza hivyo yuko sahihi! Kwa wenye upeo mdogo lakini!
Naona umekuja hapa kama kipofu, hujuia hata nini kilisemwa TLS na nini ambacho Mama amefanya leo.Vipi leo umepata jibu au bado?
Ni kweli kwamba jibu tumelipata. A sign of lot of weakness. Already!!Leo umepata jibu wazee wa mihemko
Wewe bado hujielewi, mama Samia alichofanya ni mabadiliko kidogo kwenye Baraza na sio kutangaza baraza jipya. Hivi huwa mnapeleka likizo hizo akili zenu?Naona umekuja hapa kama kipofu, hujuia hata nini kilisemwa TLS na nini ambacho Mama amefanya leo.
kuweka kumbukumbu sawa hapa JF, TLS walisema kuapishwa kwa Mama Samia Suluhu kuwa rais maana yake ni kuvunjwa kwa baraza la mawaziri la zamani. Na kuundwa kwa baraza jipya kunaanza kwa kuteua waziri mkuu mpya ambaye kisheria anapitishwa bungeni kwanza kabla ya kuapishwa, na ndio mawaziri wengine wafuate kuteuliwa na wote wataapa kwa rais mpya!
Sasa leo mama Samia katangaza baraza lake la mawaziri (kabla ya kuteua kwanza waziri mkuu wake na kwenda bungeni kupitishwa)! Alichokifanya mama Samia ni kama anajichanganya, hajui afanye nini na kipi asifanye. Anadandia ukweli na kuuchanganya na uongo.
Mliingizwa Chaka na hao TLS. Kubalini kuwa hao TLS na nyie mna mihemko sanaNi kweli kwamba jibu tumelipata. A sign of lot of weakness. Already!!