TLS na Mwabukusi: Fungueni kesi dhidi ya serikali kwa ukiukwaji mkubwa wa haki na udhalilishaji wa utu wa binadamu katika mahabusu na magereza nchini

TLS na Mwabukusi: Fungueni kesi dhidi ya serikali kwa ukiukwaji mkubwa wa haki na udhalilishaji wa utu wa binadamu katika mahabusu na magereza nchini

Mwabukusi akigombea uraisi dhidi ya Samia, na akaungwa mkono na vyama vyote vya upinzani, atapita kirahisi sana kuwa raisi. Hatapita ikiwa atagombea uraisi kupitia chama kimoja cha upinzani. Kampeni yake anaweza kuifanya kama uchaguzi wa kupiga kura kama referandum kuhusu bandari zetu, misitu yetu, ardhi yetu, madini yetu, mbuga zetu na Tanganyika yetu, ili kule visiwani wabaki na Zanzibar yao tuwe na muungano uliosawazika. Hapo Samia na CCM hawatafua dafu!

Hebu fikiria, unapiga kampeni unasema wale wote wanaoona bandari zetu, mbuga zetu, madini yetu, misitu yetu havipaswi kupewa waarabu wa nje wanipigie kura tuzuie hili! Wale wote wanaoona kwamba Tanganyika tunapaswa kuwa na serikali yetu ili tuamue mambo ya Tanganyika sisi wenyewe na Wazanzibar waamue mambo yao wenyewe wanipigie kura ili nibadilishe hili, make Tanganyika great again!!!!!!!i!
View attachment 3143641
Make Tangayika Great, sema watu kama hawa wanapigwa sana vita.
 
Make Tangayika Great, sema watu kama hawa wanapigwa sana vita.
Hili jambo linapaswa kupelekwa kwa wananchi, na likifanywa kwa namna makini hata uwapigwe vita kiasi gani huwezi kulizuia!
 
Kwakweli serikali inatakiwa kuwajibika na hali za magereza mahabusu zetu zinanuka na zinatoa utu wa binaadamu, hii siyo sawa, nakubaliana tls ipiganie hili
Kuna wakati nawaza labda ndio mana badala ya magereza kuwa sehemu ya kumrekebisha mtu imekuwa ni sehemu ya kuharibu zaidi hasa kwa wale wanaomaliza vifungo vyao au umahabusu wao..yani wanatoka wakiwa na haterage, visasi, au magonjwa kimwili na kiakili lakini pia uchumi wao nje huku wanakuta ushaharibika, na zaidi connections zote zinakuwa zimekufa nk.
 
Kwakweli tls wapiganie hili wataweka legacy moja nzuri sana kwenye historia ya nchi hii, hili litamgusa kila mtu, siyo mtu anatola jela kwa minor offences lakini anatoka anakuwa keshaharibikiwa kuanzia afya, chuki na anakuwa hatari zaidi kwa jamii
 
Back
Top Bottom