TLS na Mwabukusi: Fungueni kesi dhidi ya serikali kwa ukiukwaji mkubwa wa haki na udhalilishaji wa utu wa binadamu katika mahabusu na magereza nchini

Make Tangayika Great, sema watu kama hawa wanapigwa sana vita.
 
Make Tangayika Great, sema watu kama hawa wanapigwa sana vita.
Hili jambo linapaswa kupelekwa kwa wananchi, na likifanywa kwa namna makini hata uwapigwe vita kiasi gani huwezi kulizuia!
 
Kwakweli serikali inatakiwa kuwajibika na hali za magereza mahabusu zetu zinanuka na zinatoa utu wa binaadamu, hii siyo sawa, nakubaliana tls ipiganie hili
Kuna wakati nawaza labda ndio mana badala ya magereza kuwa sehemu ya kumrekebisha mtu imekuwa ni sehemu ya kuharibu zaidi hasa kwa wale wanaomaliza vifungo vyao au umahabusu wao..yani wanatoka wakiwa na haterage, visasi, au magonjwa kimwili na kiakili lakini pia uchumi wao nje huku wanakuta ushaharibika, na zaidi connections zote zinakuwa zimekufa nk.
 
Kwakweli tls wapiganie hili wataweka legacy moja nzuri sana kwenye historia ya nchi hii, hili litamgusa kila mtu, siyo mtu anatola jela kwa minor offences lakini anatoka anakuwa keshaharibikiwa kuanzia afya, chuki na anakuwa hatari zaidi kwa jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…