TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

Ni ukweli, wananchi wanapumbazwa na maushabiki ya kijinga ya Simba na Yamga hadi wengine kusahau familia na hata mambo ya haki zao za msingi.
Mtu yupo radhi kwake walalie uji ila yeye afike uwanjani.
 
NAKAZIA📌

Hata hivyo Mashaabiki kindakindaki wa mpira hasa wa Simba na Yanga wengi au wote ni vichwa Panzi wakiongozwa na wewe muandishi.
Na mnajulikana kwa kutamba na kuzurura hovyo na Jersey utafikiri mnaiishi uwanjani muda wote.

Nchi ina mengi ya kujadili sio huo uchizi wenu kila dakika utasikia Tumesajili..., Nimemfunga mflan..., Goli la Mama..., Mobeto vile... na upuuzi mwingine.

#STUPID.
Mwabukusi mbona kwenye horodha ya Muliro sikusikia jina lake likitajwa kuwa yeye ni mmoja kati ya wale 14?, au Muliro alimsahau?
 
Leo kweli umeongea points za maana. Mwambukusi nae Leo kateleza sana. Soka itabaki soka na siasa zitabaki siasa.

Siasa ya Tanzania kwa pande zote, sio nzuri. Kwa, upinzani vyama ni vya watu binafsi. Mfano CUT, Lipumba mpaka Leo ni mwenyekiti zaidi ya miaka 25 iliyopita. CDM Mbowe pia ni mwenyekiti wa kudumu. ACT wazalendo pia ni cha Zitto.

Upande wa CCM pia bado kuna kasoro nyingi. Watanzania sio wajinga washabikie siasa za kijinga huku baadhi ya watu wakijinehemesha.
wewe naye ni wale wale wa kutembea uchi kwa sababu ya utopolo na makoplo

JESUS IS LORD
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.

N. B:
Hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Simba na Yanga ni timu au makundi ya Watu yaliyoundwa na CCM kimkakati ili iweze kueneza propaganda ya kuwapumbaza Watu kwa nia ovu ya kuinufaisha kisiasa Ccm.
 
simba na yanga sio maandamano, na tunapoenda au kutoka uwanjani hatuandamani, mwambukusi naona kuna nati imeisha tredi imeshaanza kulegea
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.

N. B:
Hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Ndugu yangu utakuwa umejichanganya, hakuna sehemu jamaa amesema simba SC wala Young SC.
Sheria sio rahisi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom