TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

Hawa jamaa wanazungumza ukweli, lakini bado wanaonekana wajinga..

Kuna umuhimu gani wa kua bora kwenye burudani na Michezo huku mnashindwa kua bora kwenye misingi inayowapeleka kwenye mafanikio?
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.

N. B:
Jana hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Umeongea mambo meengi ila ni porojo tupu.

Na haya yote yanasababishwa na kuwa na maono madogo kwenye mambo ya msingi.

Kwani ikiwa simba na yanga inashabikiwa na watu wazima ndio sababu kwamba wanalofanya ni jambo la maana.

Yaani kwa sababu ya ujinga wenu ndio mnadhulumiwa huku halafu mnatekenywa huku na nyinyi mmeridhiika.

Ni ubumunda mtupu.
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.

N. B:
Jana hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Sasa ww ndo msemaji wa hizo timu? Unatumika vibaya ww
 
Sasa Wacha tujiulize sisi wengine tumepumbazwa.. huyo rais wenu wa TLS mbona hatukumuona magomeni pale? Na nyinyi humu madomo kaya wa Jamii Forums mbona hatukuwaona? Kwanza kabla ya kuwadhihaki wananchi wa kawaida jiangalieni nyinyinajiita waelewa na wajuaji mbona mmeishia kuwa keyboard worrier hapa JF
Dada angu kwani unatujua kwa sura?
 
Yuko sahihi kabisa Wakili.kuhusu mustakabali wa Maisha yao hawana habari ila Mpira🤗
Wangejua Siasa ndio inaendesha mustakabali wa maisha yao juu ya kuishi,kula,huduma za jamii,kilimo,elimu n.k
 
Hivi watu humu mnajadili Yanga na simba wakati vinaanzishwa mlikwepo, au mnasoma na kujiandikia mada tafuteni chanzo kwanza ya hivi vilabu
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.

N. B:
Jana hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Tena mtu wa hovyo zaidi ni mroa mada
 
Mwabukusi ni mpuuzi anayetumika na CHADEMA. Halafu wengi wenu hapa mtandaoni ni mashujaa ila kwenye maandamano mlimwacha Mbowe mwenyewe.. shame on you.
Wewe dada angu huna akili, unatufahamu kwa sura? kama tulimwacha watu 45 waliokamatwa wote walitoka nyumbani kwa Mwenyekiti?
 
We need to be serious; hivi kweli Simba na Yanga zinaweza kuwa sababu ya watu kutofuatilia masuala ya msingi? Tusiwachukulie poa watanzania, jambo la mhimu ni kuangalia ni masuala gani tunataka watu wajadili na kufuatilia. Tusiwe wepesi kusahau, wakati bunge lilipokuwa bunge kweli kweli watu walikuwa wanajazana kwenye TV utadhani wanafuatilia world cup. Wakati wa sakata la DP World au Escro Ac Simba na Yanga zilizuia watu wasijadili na kufuatilia? Simba na Yanga zinajadiliwa na kufuatiliwa "Kimchezo mchezo" na kiutani utani tu tofauti na linapokuja suala la kitaifa.

Simba na Yanga wanatimiza wajibu wao na sisi wengine tutimize wajibu wetu kwasababu hizi Club zitaendelea kuwepo. Hata huko kwingine ambako hawana Simba na Yanga kila siku wanafuatilia Arsenal, Chelsea, United, Liverpool, City etc.

Pengine watanzania wanakatishwa tamaa na serikali ya CCM na hata vyama vya upinzani ndiyo sababu hawaoni jambo la maana sana kwa sasa. Nijuavyo linapo ibuka jambo linalogusa maslahi ya watanzania hizi Simba na Yanga zinawekwa pembeni, mifano ipo mingi sana.
 
Back
Top Bottom