TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

Kasema ukweli kabisa kuwa watanzania wanapenda sana Simba na yanga lakini hawapendi kuchukua hatua pale haki zao zinapokiukwa na hii serikali ovu ya mama Yao wanayemwita hangaya.mfano kwenye maandamano wamewasaliti wazalendo wa chadema waliotaka watanzania wote wapate haki sawa na kuyamaliza mambo ya kutekwa hadharani yanayofanywa na chiefu hangaya.Ingekuwa ni Simba na yanga wangejaa uwanja mzima.
Ukimwa wa jamii ni Sawa na kukataa ama kutojihusisha na shughuli za kijamii, (Silence surrenders public responsibilities)
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.

N. B:
Jana hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Hapana, "hakuwatukana Watanzania"...please usijibu meseji hii bado naiboresha...
 
Wapinzani hawajielewi kila siku point zao ni dhaifu , badala kujenga vyama wanaingilia mambo hayawahusu .
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.

N. B:
Jana hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Ni mpumbavu sana Mwambukusi hivi waingereza unaweza waambia kuwa mpira sio mambo ya msingi?
 
Akili za watanzania wengi zimehamia kwenye goli la mama,hatuna habari na mambo ya Nchi.
Ukitaka kutawala watu wapumbavu daima divert mawazo yao na mtazamo wao.
Hawa wanaojiita manabii ,mitume,nk wanapata sapoti ya serikali kwasabau ni sehemu nzuri ya kuhamisha mawazo ya wajinga.
Badala ya mtu kuhusanisha umaskini wake,ukosefu wake wa ajira nk na utawala uliopo,anahusanisha na kulogwa,laana nk kama atakavyohubiriwa na hao manabii feki.

Badala ya kuhusanisha ukosefu wa bima ya Afya na ugonjwa wake ,atahusanisha ugonjwa wake na kulogwa kama anavyohubiriwa.
 
Kweli kwa mfano hapa ninapo ishi Kuna jamaa mmoja yeye Kila unapo mkuta yeye nikuzunguzi yanga yaahani hanaga hoja nyingine
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.

N. B:
Jana hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Ndio. Unaacha kazi unashinda uwanja wa mkapa. Unaacha swala na unaacha kufanya ibada usiku unaenda kuwapokea simba Yanga saa za usiku. Ukiulizwa unapata nini huna jibu. Halafu unaitwa Muhammad, Abubakar. Othman.
 
Kasema ukweli kabisa kuwa watanzania wanapenda sana Simba na yanga lakini hawapendi kuchukua hatua pale haki zao zinapokiukwa na hii serikali ovu ya mama Yao wanayemwita hangaya.mfano kwenye maandamano wamewasaliti wazalendo wa chadema waliotaka watanzania wote wapate haki sawa na kuyamaliza mambo ya kutekwa hadharani yanayofanywa na chiefu hangaya.Ingekuwa ni Simba na yanga wangejaa uwanja mzima.
Wewe na Mwabukusi mnaotambua haki zenu zinaminywa mliandamana? Kama hamkuandamana basi mjijue nyie ni WAJINGA NA WAPUMBAVU kuzidi hao washabiki wa Simba na Yanga ambao wako tayari kuandamana uchi kwa ajili ya timu zao!
 
Sasa kama Rais wa Stanza anatoa milioni 5 kila goli huku kuna raia wanakufa kwa kukosa dawa au kunywa tope na wananchi wanaona sawa ni akili hiyo?
 
S
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii.

N. B:
Jana hata Mwabukusi hakuandamana, ila alitaka wengine waandamane, chichi dodo
Sijui wewe ni dini Gani au kabila Gani? Unatafuta uchonganishi kwa uchawa wako. Alichosema Mwambukusi, ni maswala ya ulinganifu, unaweza kupenda mpira, lakini linapokuja swala la uhai, haki ya mtu kuishi, unashindwa kuunga mkono wanaotete uhai, we unaona ni Bora ushabiki wa mpira. Unapaswa kupimwa afya ya akiri!
 
Wanasiasa mambo yao kubuma wanatafuta wa kumuangushia mzigo.Mwabukusi akumbishwe Kuwa Hata hao Yanga na Simba wamefanya kazi kutengeneza wanachokiona,kama ni rahisi si nao watengeneze? wivu wa nini?kwani umati wa Mwamposa haujautamani?Mkifanya mbinu sahihi mtapata tu umati Nchi Ina Watu milioni 60+ sio wote Mashabiki wa Yanga na Simba au Mwamposa.
 
Akili za watanzania wengi zimehamia kwenye goli la mama,hatuna habari na mambo ya Nchi.
Ukitaka kutawala watu wapumbavu daima divert mawazo yao na mtazamo wao.
Hawa wanaojiita manabii ,mitume,nk wanapata sapoti ya serikali kwasabau ni sehemu nzuri ya kuhamisha mawazo ya wajinga.
Badala ya mtu kuhusanisha umaskini wake,ukosefu wake wa ajira nk na utawala uliopo,anahusanisha na kulogwa,laana nk kama atakavyohubiriwa na hao manabii feki.

Badala ya kuhusanisha ukosefu wa bima ya Afya na ugonjwa wake ,atahusanisha ugonjwa wake na kulogwa kama anavyohubiriwa.
Uchawi upon, hata Quran tukufu na Biblia Takatifu zinautaja, ila wachawi wengi wako katika kampeni kubwa dunia nzima iamini hakuna uchawi
 
Wanasiasa mambo yao kubuma wanatafuta wa kumuangushia mzigo.Mwabukusi akumbishwe Kuwa Hata hao Yanga na Simba wamefanya kazi kutengeneza wanachokiona,kama ni rahisi si nao watengeneze? wivu wa nini?kwani umati wa Mwamposa haujautamani?Mkifanya mbinu sahihi mtapata tu umati Nchi Ina Watu milioni 60+ sio wote Mashabiki wa Yanga na Simba au Mwamposa.
 
Attachments

  • Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
    Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
    15.4 KB · Views: 1

Back
Top Bottom