TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

NAKAZIAšŸ“Œ

Hata hivyo Mashaabiki kindakindaki wa mpira hasa wa Simba na Yanga wengi au wote ni vichwa Panzi wakiongozwa na wewe muandishi.
Na mnajulikana kwa kutamba na kuzurura hovyo na Jersey utafikiri mnaiishi uwanjani muda wote.

Nchi ina mengi ya kujadili sio huo uchizi wenu kila dakika utasikia Tumesajili..., Nimemfunga mflan..., Goli la Mama..., Mobeto vile... na upuuzi mwingine.

#STUPID.
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii
Leo kweli umeongea points za maana. Mwambukusi nae Leo kateleza sana. Soka itabaki soka na siasa zitabaki siasa.

Siasa ya Tanzania kwa pande zote, sio nzuri. Kwa, upinzani vyama ni vya watu binafsi. Mfano CUT, Lipumba mpaka Leo ni mwenyekiti zaidi ya miaka 25 iliyopita. CDM Mbowe pia ni mwenyekiti wa kudumu. ACT wazalendo pia ni cha Zitto.

Upande wa CCM pia bado kuna kasoro nyingi. Watanzania sio wajinga washabikie siasa za kijinga huku baadhi ya watu wakijinehemesha.
 
Kwani uongo hapo ni upi? Au unajitoa ufahamu? Mala ngapi hawa watu wameandamana kwaajili ya Simba na Yanga lakini mambo ya msingi hawataki? Siku nzima kubishana mpira kwa wendawazimu
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii
Mara nyingi tu mashabiki wa Simba na Yanga huandamana uchi na hata wachezaji wao huvuaga Jezi uwanjani

Tatizo unaishi Rombo Ndani Ndani huko šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Nani kawazuio kuimarisha SACCOSS yenu ya Chadema?
Wewe hukuona kinachozuia CHADEMA wasiandamane? Au unajitoa ufahamu. Serikali imetumia mabavu na fedha nyingi za wananchi kuzima maandamano ambayo ni haki kikatiba na kisheria. Nimeshuhudia maandamano makubwa ya hizi timu mbili na uharibifu mkubwa ukitokea lakini serikali na jeshi letu limekaa kimya. IPO SIKU!
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii
Bro kinachopiganiwa hapa ni kikubwa kuliko hata huo mpira Amani ikikosekana kwa watu kuendelea kupotea na kuuawa huo mpira hautakuwa na maana …Sema wa Tanzania tuna ugonjwa wa Afya ya Akili Kwene mambo ya Maana tunakua nyuma nyuma Maandamano ya aman kupinga mauaji ila wa Tanzania tulivo wapumbavu et tunaogopa kuchafua aman sasa amani gani inayoruhusu mauaji na utekaji hii nchi ukiachana na uongozi kuendesha hata raia tuna percent kubwa ya kuiongoza sbb kuna wakat nchi inakua na viongozoli wenye akili zinazofanana wanaongoza kwa maslahi yao tu …mwananchi ukiumia njia pekee ya kuleta mapinduzi au kufikisha ujumbe ni kwa njia ya maandamano ila sbb sisi ni kama mazuzu mtu ana mmaindi Mwabukusi et kisa Kawasema vibaya Simba na yanga ila haoni kama kuna point ya maandamano Wachungaji, Mashehe, Mapadri wakat wa mabubiri hutumia kauli hii ā€œUwanjani goal la simba au Yanga likiingia mnapiga sana makofi na kuruka kuruka ila nyumba za ibada hamfanyi hivyoā€ nao hawa waziombe msamaha club? hata mzazi kuna wakati anakukataza usiangalie mpira uingie chumbani kwako ukasome nae au ukafanye kazi ni mjinga …Kutawaliwa upya muhimu sana sbb sisi ni mazuzu sana
 
Kasema ukweli kabisa kuwa watanzania wanapenda sana Simba na yanga lakini hawapendi kuchukua hatua pale haki zao zinapokiukwa na hii serikali ovu ya mama Yao wanayemwita hangaya.mfano kwenye maandamano wamewasaliti wazalendo wa chadema waliotaka watanzania wote wapate haki sawa na kuyamaliza mambo ya kutekwa hadharani yanayofanywa na chiefu hangaya.Ingekuwa ni Simba na yanga wangejaa uwanja mzima.
Ha ha ha ha we ulikuwa wapi mkuu ktk maandamano kuonesha hujamsalit MBOWE na chadema yake?
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii
Ni ukweli wala hakuna haja kuomba msamaha. Watu wameacha kufuatilia kuhusu mambo ya msingi ya maisha yao wanafuatilia mpira na usanii. Watawala nao wamegundua kuwa washabikia huko hawana muda wa kuhoji kinachoendelea kwenye matumizi ya Kodi zao kwa maendeleo ya Nchi na huduma kwa wananchi.
 
pongezi kwa Mwabukusi kuusema UKWELI MCHUNGU ambao baadhi ya wapenda mpira(wajinga) hawapendi kuusikia.
 
Chakushangaza wote humu mnao comment kumuunga mkono Mwambukusi hakuna hata mmoja aliye jitokeza kwenye maandamano.
 
Kasema ukweli kabisa kuwa watanzania wanapenda sana Simba na yanga lakini hawapendi kuchukua hatua pale haki zao zinapokiukwa na hii serikali ovu ya mama Yao wanayemwita hangaya.mfano kwenye maandamano wamewasaliti wazalendo wa chadema waliotaka watanzania wote wapate haki sawa na kuyamaliza mambo ya kutekwa hadharani yanayofanywa na chiefu hangaya.Ingekuwa ni Simba na yanga wangejaa uwanja mzima.
Ww unaye zingatia mambo ya msingi kwenye maandamano ulikuwepo ili kudai hizo haki?
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii
Ulevi wa madaraka na ulimbukeni. Utadhani yeye ndiye rais wa TLS wa kwanza na wa mwisho
 
Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi

Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.

Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake

Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?

Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii
Jamaa amejichanganya sana.
 
Hakuna mwenye akili timamu atakayekubaliana na binaadamu kumteka mwenzie na kumtesa au kumuua lakini bado havizuii watu kuendelea na wanavyovipenda. Tatizo la Chadema ni kutaka kutuaminisha watanzania kuwa matatizo yao ni matatizo yetu.
Daa; uzi unahusu TLS, wewe umeingiza masuala ya Chadema tena. Halafu lini Chadema walituomba Watanzania tuandamane kwasababu ya matatizo yao? Hivi watu kutekwa, kuuawa ni matatizo ya Chadema? Halafu bado tunamsema Mwambukusi anatutukana? Kwa maandishi haya, Mwambukusi anakua kakosea wapi?
 
Chakushangaza wote humu mnao comment kumuunga mkono Mwambukusi hakuna hata mmoja aliye jitokeza kwenye maandamano.
Hahaaaa, keyboard warriors.
 
Kasema kweli ndiyo zinatumika kupumbaza watu wanakuwa wajinga
Sasa Wacha tujiulize sisi wengine tumepumbazwa.. huyo rais wenu wa TLS mbona hatukumuona magomeni pale? Na nyinyi humu madomo kaya wa Jamii Forums mbona hatukuwaona? Kwanza kabla ya kuwadhihaki wananchi wa kawaida jiangalieni nyinyinajiita waelewa na wajuaji mbona mmeishia kuwa keyboard worrier hapa JF
 
Back
Top Bottom