Siyo logwa! Nadhani ni rogwa!Kwani Mwabukusi nini alichoongea ambacho siyo sahihi?
Watanzania "wamelogwa" Kwa ushabiki wa Yanga na Simba.
Full Stop
Anyway, nadhani tuna tofautiana sana linapokuja suala la mapenzi! Wapo wanaopenda mpira na wapo wanaopenda siasa! Siyo dhambi kupenda mpira wala siyo dhambi kupenda siasa! Ndivyo tulivyoumbwa kufurahia yanayotuzunguka! Usinione nimerogwa ninapopenda usichopenda! Ukiniona nimerogwa kwa kupenda mpira, nitakuona umerogwa kwa kupenda siasa! Usinilazimeshe wala kunipangia chakupenda! Penda unavyopenda, niache nipende ninavyopenda!