TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

Ni ukweli, wananchi wanapumbazwa na maushabiki ya kijinga ya Simba na Yamga hadi wengine kusahau familia na hata mambo ya haki zao za msingi.
Mtu yupo radhi kwake walalie uji ila yeye afike uwanjani.
 
Mwabukusi mbona kwenye horodha ya Muliro sikusikia jina lake likitajwa kuwa yeye ni mmoja kati ya wale 14?, au Muliro alimsahau?
 
wewe naye ni wale wale wa kutembea uchi kwa sababu ya utopolo na makoplo

JESUS IS LORD
 
Simba na Yanga ni timu au makundi ya Watu yaliyoundwa na CCM kimkakati ili iweze kueneza propaganda ya kuwapumbaza Watu kwa nia ovu ya kuinufaisha kisiasa Ccm.
 
simba na yanga sio maandamano, na tunapoenda au kutoka uwanjani hatuandamani, mwambukusi naona kuna nati imeisha tredi imeshaanza kulegea
 
Ndugu yangu utakuwa umejichanganya, hakuna sehemu jamaa amesema simba SC wala Young SC.
Sheria sio rahisi hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…